Hivi kunamchezaji amevumiliwa mzawa kama David kameta Duchu, huyu Jamaa ni ubavu wa kulia mzuri sana hatuoni pengo la Shommy kabisa๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐
Kuna siku nikiwa kwenye harakati za kutafuta ajira, nikagundua majina kwenye cheti changu cha kuzaliwa hayafanani na vyeti vyangu vya kitaaluma ๐
Nilijua kabisa hii ingeweza kunicost,Shukrani kwa @CarterTz_ alinisaidia kurekebisha haraka na kitaalamu ๐
๐ 0717 815 554
Vijana wenzangu Kama Mungu amekupa Riziki now Jitahidi sana Ununue Kiwanja ujenge, Usingizi wa Kwako ni tamu kuliko wa Kwenye nyumba za watu hata kama ni Masaki..!!