GIS expert

Joined August 2024
11 Photos and videos
Pinned Tweet
X-Wanaharakati na Wanasiasa, Hivi Ziara za Maraisi zinazoendelea Tanzania zinaashiria nini au ndiyo utaratibu? Nipate mwanga kidogo.
82
PCB retweeted
Kitambo wanangu hamjanipa repost zenu.
4
69
229
4,901
Nyie ndiyo mnachelewesha Uchumi wa Nchi Kupanda
Tuone umevaa nini mguuni
23
Mm ninae Bukoba, niko dar naomba mnichangie basi
Masela kwenye ujinga huwa tunapeana sapoti kubwa sana😂🙌. Nakumbuka kuna mwanetu mmoja enzi tupo chuo alimtongoza manzi karbu miezi 6 anabembeleza tu,. Kipindi cha likizo ile ndefu ya mwezi wa 8 hadi wa 10, . manzi akamkubalia mwana, na mwana kwao Iringa then manzi kwao ni mwanza,.. Wasiwasi wa mchizi ni kusubiri hadi chuo kifunguliwe anaweza akatemwa tena,.. bhasi akatuomba tumchangie nauli aende mwanza, kwenye ujinga tena, chap tu tukamchangia mwanetu, kwenye uwanja wa ugenini akatuwakilishe vyema😂🔥, sharti lilikuwa picha tu akiwa na mchumba🙌.
34
One of the best and beautiful 😍 Actress in Nigeria 🇳🇬 au Nadanganya Wafuatiliaji wa Movie za Kinigeria. Call her Uche Montana!!
2
111
PCB retweeted
Labda uwe na chukii zako binafsi tu kama mashabiki wa Simba 😁🙌ila janja boli anajua 🔥💚💚
4
13
105
1,534
Kuvaa vizuri sio kufake maisha kaa Tu smart acha kufanana na shida zako.
10
42
234
3,717
PCB retweeted
"How girls think boys get money 😂"
15
26
78
1,262
X wapiga Nyet***Inawezekana kwelii!! Au Mkorea anatupanga
2
3
4
151
PCB retweeted
Apr 28
Hakunaga kipindi ambacho mzazi anakua mpole Kama unapo mfundisha kutumia smartphone 😂 Unaweza ukamtuma maji na akakuletea 🤣🤣🙌🏽
16
28
77
1,825
Labda bila kuonana sura
Sasa hii pisi inaubaya gani? Kuna watu mna changamoto ya afya ya akili we akikupa huyu hupigi?
40
Kwenye ligi yetu hakuna passer kama Allan Okello Bwana mdogo passing level yake sio ya kitoto Ana vision sana ya kuchungulia mashimo na kupitisha mipira Okello ni KDB mtupu 🙌
7
9
167
2,480
#TajiriLaKihaya Manzi za Dar ukiziambia ‘I LOVE U’ hawana muda wa kujibu ‘i love u too’ Wenyewe wanakimbilia; ‘UTANIPA SH.NGAPI??’
41
33
257
7,403
Tuachie walio oza meno kaka!! Natanguliza shukran
Oyaa, yani Elon alitakiwa kukata kesho vipi kakata leo!!🤒,.. hata hajali kama mimi ni yatima na ni winga Sijala till now😂💔... # Jumapili ya kufake, usikae kinyonge karbu wote tuna njaa humu😂🤝.
1
25
Kang'ata nini kaka
We ni mimi mtupu 😂😂 unapigaje denda ayo meno kama kang'ata mavi
13
PCB retweeted
Naomba repost yako familia🤝 Kwa spare parts imara za pikipiki sehemu ni moja tu kwa SAM SPARE PARTS pale NGUSERO ARUSHA tunauza jumla na rejareja Karibu ujipatie Spare parts za pikipiki kwa bei nafuu sana wote mnakaribishwaa🔥 Mawasiliano: 0754936565
29
98
144
5,093
Muda huu watu wengi wapo free humu Wakuu niko free kidogo hapa wekeni handles tuinuane kidogo muda huu🫵🏽👋👇
25
21
44
635
PCB retweeted
Mashabiki wa mpira tuingane kumshukuru Mungu kwa kutuletea Pep Gwadiola. Imagine ubingwa ulikuwa unaenda kwa Arsenal timu ambayo haiwezi kutengeneza wala kufunga magoli kwenye mchezo wa wazi (open-play). Timu inategemea kona na mipira ya kurusha au magoli ya kujifunga ila Pep kaja kabeba kombe lake liko mahali salama sasa
6
6
90
4,282
PCB retweeted
Ukiona mwanaume anagida ugimbi hadi ngoma tisa huko we muache tu kuna wanetu wanapitia magumu sana. Imagine mtu kaoa kwa harusi ya matarumbeta na sherehe kubwa tu ila mwezi mzima ananyimwa unyumba na mbaya zaidi mwanamke analala chumba cha watoto. Jamaa ni single boy kwenye bungalow lake mwenyewe💔💔 Wanaume tunakufa mapema kwa mengi sana na bado akienda kazini anafokewa na boss wake🥹
17
9
97
7,100
PCB retweeted
Watu wanajua kinachoendeleaa ndo maana hawana wasiwasi na report hii, DJ chapa nyimbo ya Rema Iiiiiiii dogo Rema
4
7
16
669