Website Designer | S.E.O Expert | Founder, Rednet Technologies | We help your business to grow online.

Joined September 2011
2,383 Photos and videos
Pinned Tweet
Kama umekuwa ukihangaika kutafuta Mzabuni/Mtaalam wa kudumu katika ofisi yako kuhusu yafuatayo; 1. Website Design and Maintenance. 2. Kuifanya biashara yako ipatikane Google na mitandaoni (S.E.O na Social Media) 3. Android/iOS App Design. 4. Vifaa vya ofisini. Njoo leo hapa.
2
7
26
4,608
Faustine retweeted
Brela kuwa hacked na taarifa nyingi sana zimekuwa exposed (rekodi zaidi ya Million 10), ni moja ya alarm mbaya sana kwa serikali na tech ecosystem. Hii iwe kama wake up call kabla hatujapigwa na tukio lingine baya. Ni mda wa ku-invest kwenye Cyber research and Intelligence.
24
37
481
20,318
So tumeshapata official no. 1 golie., Ladies and Gents, its Husein Masaranga. - Kwapa la kurusha mpira ✅ - Sweeper Keeper ✅ - Danger Anticipation ✅ - 1v1 situation ✅ Exposure kidogo tu, anaondoka Singida huyu next season.
44
Je, unaamini kwamba at some point kila mtu ni MSOMAJI wa vitabu (at least ameshasoma vitabu vitano in their life ambavyo vimemsaidia kuwa hivyo unavyomuona). Just like the fact kwamba kila mtu at some point ni KINYOZI.😊
1
216
Igizo la Christmas.
36
Hata hivyo, Sheria ya Utumishi wa Umma inawataka "viongozi" wote wa umma kusalimisha umiliki wao wote wa mali binafsi kabla ya Utumishi au pale anapohamishwa kituo cha kazi. Swali ni je, Sheria hii imeshawahi kufanyiwa kazi? Kama imeshawahi, ni kwa kiasi gani? Msimamizi nani?
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
1
157
Faustine retweeted
1
8
15
1,729
The Fact is Tanzania ni Nchi isiyofungamana na Upande wowote Duniani, meaning, we can take any side (West or East) or take them both, or find our own side. But deep deep down in our DNA, Guys, Guys, Guys.. We are a Communist Country., take it or leave it.
87
Faustine retweeted
Mara nyingi nimewahi kuuliza lakini sijaweza kupata jibu sahihi, “Ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?”
361
1,374
4,539
Faustine retweeted
4 Dec 2025
TANZANIA IS NOT IN CHAOS — IT IS IN A GEO-ECONOMIC WAR (2017–2025). AND MOST PEOPLE HAVE NO CLUE WHAT IS REALLY HAPPENING. ●1- What Tanzania is facing didn’t start last month. Not 2021. Not 2020. It started in 2017 — and the world has been waiting for the perfect moment to strike back. ●2- 2017 was the year Tanzania did the UNTHINKABLE. Parliament passed two laws that basically told the world: “Our minerals. Our terms. Our sovereignty. Period.” That was a slap felt from London to Washington. ●3- The laws were: • Natural Resources Permanent Sovereignty Act (2017) • Natural Resources Contract Review & Renegotiation Act (2017) Translation: “Foreign companies, come again. NEW rules. OUR rules.” That’s when global extractive giants realized Tanzania was no longer the playground they were used to. ●4- JPM didn’t sugarcoat it. He called it _“Vita ya Kiuchumi.”_ And guess what? It wasn’t a metaphor. From that moment, Tanzania entered an economic battlefield — minerals vs superpowers, sovereignty vs old empires. ●5- Immediately, a counter-narrative began: _“Tanzania is authoritarian…”_ _“Media freedom declining…”_ _“Opposition shrinking…”_ Was some of it true? Yes. Was some of it global pushback? Also yes. You cannot rewrite resource contracts worth billions without retaliation. ●6- Fast-forward to 2021. A new President. A calmer tone. Diplomatic smiles. Handshakes. Hugs. Western governments thought the storm was over. They were WRONG. ●7- Because two projects were quietly shaping Tanzania’s destiny: (1) MKUJU URANIUM (2) LINDI LNG Let’s talk about them— because THIS is where the global temperature rose. ●8- Mkuju Uranium is not “just a mining project.” It’s one of the *most strategic uranium deposits IN THE WORLD.* Who got the project? Not the West. Not France. Not the US. Not the usual players. It went to Rosatom — Russia’s nuclear state corporation. ●9- And on 31 July 2025, Tanzania and Russia launched a pilot uranium processing plant in Mkuju. To the West, this wasn’t business. It was a security threat. Uranium = nuclear capability. And Russia controlling a Top-10 global deposit? That stung. ●10- Now the second bomb: Lindi LNG. Western companies spent YEARS negotiating (2018–2023): • Shell • Equinor • ExxonMobil • Ophir • Pavilion Still no deal. Then suddenly… China shows interest. Gulf shows interest. Russia’s Gazprom circles in. ●11- Do you see the pattern now? Uranium → Russia Gas → China/Gulf/Russia Diplomacy → Eastward tilt Contracts → Sovereignty model still intact The West looked at Tanzania and said: _“So nothing changed after 2017 ?”_ ●12- Enter the digital warfront. Because modern battles are not fought with guns. They’re fought with hashtags, influencers, fake outrage, micro-influencers, and coordinated disinformation. And Tanzania had three weak points: ●13- 1️⃣ A massive frustrated youth population 2️⃣ A 100% internet-political generation 3️⃣ Internal political factions hungry for leverage What do you get when you mix those three? A perfect psychological operations battleground. A digital minefield. ●14- From 2023 onward, the online temperature rose unnaturally fast. Agenda after agenda. Anti-gov waves. Counter-waves. Religious statements gaining political weight. DP World hysteria. Bots. Influencers. Paid narratives. Daily polarization. Something was brewing. ●15- Then came Mkuju Declaration — July 31, 2025. A bold, loud, symbolic declaration of Tanzania’s direction. And three months later… October 29. The day everything snapped. A single spark that revealed 8 years of geopolitical tension. ●16- Don’t get it twisted. What happened on October 29 was not “random.” It was not “sudden.” It was not “normal politics.” It was a pressure valve exploding after 2017 → 2021 → 2023 → 2025. ●17- Tanzania is not in a crisis because of one event. Tanzania is in a global chessboard. —END THREAD— #DefendingOurSovereignity
19
40
76
14,205
Siamini kama "Kisiwa cha Amani" leo hii kinapigwa mashambulizi hivi left and right.. smdh. So, considering huu ni ushauri na sio maelekezo., kama nchi/serikali tunatakiwa kufanyeje?
5 Dec 2025
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
3
240
Hivi katika Uislam, hakunaga Uongozi/Uwakilishi wa Kidunia au Bara au Kanda? Kama huo Uongozi/Uwakilishi haupo, kwanini haupo?
4 Dec 2025
Replying to @KenyanSays
Kipindi cha kabla na mara tu baada ya uhuru, kulikuwa na taasisi nyingi za Kiislamu zenye mtandao wa East African Muslim welfare / Muslim associations zinazofanya kazi nje ya mipaka ya taifa moja. Serikali nyingi za Afrika Mashariki zilianza kutengeneza taasisi za Kiislamu zilizo ndani ya mipaka ya kitaifa ili ziwe na muundo mmoja wa uwakilishi. Tanzania ikaunda BAKWATA (1968) kama mwendelezo wa kuunganisha sauti zote za Kiislamu katika mfumo mmoja wa kisheria na utambulisho wa taifa. Halafu BAKWATA ikauza kiwanja cha Markaz pale Chang’ombe DUCE ilicho kirithi kwa East African Muslim welfare. Huwezi kuta Kanisa wanauza maeneo yao 😇
1
291
Octopus Heads.
65
Ifike mahali sasa Katiba Mpya iruhusu mtu kutoka Tanzania Bara (Tanganyika) kuwa Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kama ambavyo Mtu kutoka Zanzibar anaweza kuwa Kiongozi wa JMT. Si ni Fair?
1
6
195
Hivi ile ilikua ni hotuba ya Kuliponya na Kuliunganisha Taifa ama Hotuba ya kutangaza vita dhidi ya GenZ, Taasisi za Dini, Vyama vya Siasa na Wananchi kwa Ujumla? Nielewesheni jamani..
1
2
123
Hivi mtu anapoitwa "Ulamaa" hio huwa ina maana gani? Na mtu mpaka aje kuwa Ulamaa inabidi awe na sifa zipi? Elimu yake inapimwaje?? Naomba mnieleweshe ndugu zangu taratibu kabisa kama mwanafunzi..
1
1
61
Ni muda tuanze kutafuta fursa Burundi na Malawi? Au tuvumilie?
61
Usimuamini mwanasiasa 100%.
66
Sema humu sometimes mnapendaga sana kujidhalilisha bila sababu ya msingi😄
48
Faustine retweeted
4 Nov 2025
Tunahitaji kufikiri jinsi gani tutapata stable Internet connection bila haya mauzauza, hawa watu ni kama wanatufanyia favour wakati ni wajibu wao. Labda tujaribu Satellite Internet service provider wa Tanzania kama Konnect (Eutelsat), DataFlow Telecom, lakini hawa bado ni shida.
18
53
402
12,909