Tatizo siyo Millennials, Hizo ndiyo zilikuwa peak download sites nzuri za wakati ule dunia nzima, mid 2000's technology ilikuwa kwenye 2G/EDGE, tulitumia hizo ku-download Java Games, ringtone, videos kwenye Nokia, Sony Ericsson etc
Sasa tupo 5G, AI, Cloud technology etc.. π
Millennial wali download music kutumia "waptrick,wapdam,Tubidy"