“Nilikeketwa nikiwa na umri wa miaka 10, nilikuwa na furaha sana nikijihisi nami nitakuwa kama wasichana wengine, kwa sababu kulikuwa na unyanyapaa shuleni na mara nyingi nilikuwa nalia wakati wasichana wengine walipokuwa wananisema vibaya, wanasema mimi ni mchafu.”Saadia Hussein