You don't need degree to become SOCIAL MEDIA MANAGER
Kuna hii course ya Digital Marketing ndani yake kuna course ya namna nzuri ya kua social media manager hii VETA huipati isipokua kwa @GillsaInt
1
3
6
734
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
Njia 4 za kumpoteza mteja wako;
➡️ Kuahidi kupitiliza na kutokudeliver kazi kwa wakati
➡️ Kuhisi umemwelewa mteja badala ya kuuliza
➡️ Kuchelewa kwenye kikaoo
➡️ Kufanya kazi nje deadline
Sikia m-treat mteja kama mfalme
5
12
390
SmartConnect Agency - Web Design&Digital Marketing retweeted
Maneno 4 ambayo hupaswi kuyatumia wakati wa KUUZA;
1. Gharama - tumia neno UWEKZAJI
2. Mkataba - tumia neno MAKUBALINO
4. Trust me/Niamini - hili neno usitumie kabisa unapouza
Anza KUUZA kama daktari
➡️ Kama ulikua ujui madaktari ni wauzaji wazuri sana, 96% ya watu katika KUUZA hawazingatii hili.
Ulishawahi kuona wapi daktari anatoa dawa pasipo kukuuliza maswali ya utanguliza
Brother & Sister SELL like Doctors
Acha kuzungumzia features za product yako badala yake waeleze matakeo
Mteja hataki kujua juu ya product yako
Wanataka kujua namna utakavyo wasaidia kutatua tatizo lao na kuwaondoa katika maumivu
Ili ufanikiwe kwenye TANGAZO lako zingatia yafuatayo;
1. Fahamu Target yako
2. Unda OFA nzuri
3. Tumia Ad Creativity nzuri
4. Tumia Ads Manager ku-run TANGAZO lako not BOOST
Kabla ya kuandika TANGAZO lako katika mitandao ya kijamii;
"Fahamu walengwa wako"
- Nani unamlenga
- Umuhimu wa bidhaa/huduma kwake
- Anajua kiasi gani kuhusu bidhaa yako
Ni muhimu sana kujiuliza haya maswali kabla ya kuandaa TANGAZO