A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza

Joined March 2013
2,887 Photos and videos
TAMWA inapongeza serikali, kupitia bajeti kuu iliyosomwa jana bungeni, kwa kuongeza mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu na kufikia asilimia 15 kutoka asilimia 10. Hili litaongeza ushiriki wa makundi maalum katika sekta za biashara na ujasiriamali.
1
4
32
Tanzania Media Women retweeted
Uandishi unaozingatia usawa wa kijinsia unachochea maendeleo ya jinsi zote kwa kuondoa ubaguzi, kukuza ushiriki sawa, na kuhakikisha fursa na taarifa zinawafikia wote kwa usawa. #WomenInMediaTz
1
9
15
234
Wakati bajeti kuu ya mwaka 2026/2027 ikitarajiwa kusomwa kesho bungeni, TAMWA tunalikumbusha bunge kuwa bajeti zinapozingatia hali halisi na mahitaji ya wanawake, jamii huweza kuwekeza kwa ufanisi zaidi katika huduma na fursa muhimu zinazogusa maisha yao moja kwa moja.
2
13
Leo tunaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nyaraka, inayotambua umuhimu wa kuhifadhi kumbukumbu . TAMWA tunajivunia jarida letu kongwe la Sauti Ya Siti, ambalo linatukumbusha kazi walizofanya waasisi na wanachama wetu katika kusimamia haki za wanawake na watoto. #SautiYaSiti
5
56
Mazingira salama ni msingi wa maisha endelevu. Tuungane kuyatunza kwa kupanda miti, kupunguza taka na kulinda rasilimali za asili. #SikuYaMazingiraDuniani #WorldEnvironmentDay #TunzaMazingira #PandaMti #TanzaniaKijani #TAMWA
1
3
18
Takwimu za Wizara ya Mambo ya Ndani, Jeshi la Polisi zinaonesha ukatili wa kingono kwa jinsia zote umeshuka kutoka matukio 12,749 mwaka 2024 hadi 11,625 mwaka 2025. Hayo yameelezwa leo na Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
3
48
"Nasisitiza waandishi wa habari kushiriki kuwania Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026, kwa kuwa waandishi ndio daraja kati ya serikali na wananchi, tuone umuhimu wa kusemea miradi yetu hatua tunazopiga za kimaendeleo ili zijulikane duniani". Dkt Kannaeli Kaale - Mwenyekiti TAMWA
2
98
“Mchakato wa kupokea kazi unaanza rasmi leo 31 Mei 2026 na kuhitimishwa 30Juni 2026 kupitia tovuti rasmi ya Tuzo samiaawards.tz. Kazi zitakazopokelewa ni zilizochapishwa na kurushwa kuanzia 1 Julai 2025 hadi 30Juni 2026”. Mhandisi Peter Msalyanda - Mkurungenzi TCRA
3
81
TCRA na TAMWA kwa kushirikiana na JAB zimezindua, Msimu wa pili wa Tuzo za uandishi wa habari za maendeleo za "Samia Kalamu Awards 2026" leo May 31, 2026. @ithibati
1
42
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani: Zifahamu Sifa na Umuhimu wa Nyuki @mfukowamisitu @MNRT_Tanzania
1
5
60
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania- TAMWA leo kinaungana na watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Malezi kitaifa. TAMWA inaendelea kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa malezi na makuzi salama ya watoto wa kike na wa kiume.
1
42
Wawakilishi kutoka Thomson Foundation wameitembelea ofisi ya TAMWA na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa TAMWA, Dk Rose Reuben. Majadiliano hayo yalijikita katika mikakati ya maendeleo, fursa za mashirikiano yanayolenga kuimarisha vyombo vya habari na maendeleo ya jamii.
1
4
196
Tunaamini mdahalo huu wa leo utaleta mawazo chanya, ubunifu, na kutoa suluhu za pamoja katika kutokomeza ukatili wa kijinsia bila kumuacha yeyote nyuma,” Dr. Rose Reuben Mkurugenzi wa TAMWA. #SautiZetu #ZuiaUkatili #GIZ
5
8
370
Leo TAMWA kwa kushirikiana na GIZ wanaendesha mdahalo wa kitaifa wa ushiriki wa wanaume katika kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto #ZuiaUkatili #SautiZetu #GIZ
3
5
115
TAMWA inajivunia kuwa mjumbe wa Kamati kuu ya maadhimisho na kilele cha Sherehe za Uhuru wa Vyombo vya Habari, 2026 yenye kauli mbiu: Kujenga Mustakabali wa Amani- Kukuza Uhuru wa Vyombo Vya Habari kwa ajili ya haki za binadamu, maendeleo na Usalama.
2
4
249