Joined February 2022
1,232 Photos and videos
Pinned Tweet
VYUO VILIVYOPO MBEYA 1.Chuo cha Mbeya university of science and technology (MUST)
87
100
1,231
126,814
Visit Mbeya🇹🇿 retweeted
AI practise
4
3
88
#VisitMbeya GBPUSD 1hr Analysis. Kwa Mtazamo wangu kwa sasa yuko Maeneo ya order block ya Sanduku jekundu hapo juu. Nasubir kama hatatoka juu ya hayo Maeneo Nasell na Tp yangu ni kwenye FVG down karibu na order block ya bullish. Naomben Analysis ya hii wakuu
2
3
44
#VisitMbeya GBPUSD 15m TF ANALYSIS. wakuu Naomba mtazamo wenu
2
3
4
135
Deal done ✅
29
#VisitMbeya GBPUSD 15m Tf kashafika maeneo ya order block yangu. Tp iko Tayari sasa Nasubir Sell 📉
#VisitMbeya GBPUSD 15m TF ANALYSIS. wakuu Naomba mtazamo wenu
12
#VisitMbeya 📍 Mbeya
6
6
13
408
#VisitMbeya 😭 daaaa aisee Hii inauma sana familia. MUNGU amlaze mahali pema peponi
Nimepoteza Baba mzazi leo 💔🕊️
1
2
114
Visit Mbeya🇹🇿 retweeted
5
12
27
762
#VisitMbeya. Karibuni mpate nguo nzuri toka kwetu.
Msisahau kama nauza nguo Tishet 20000 tu📌 External,Maziwa road 0763509705
31
#VisitMbeya 📍 Kisiba
5
11
37
1,893
#VisitMbeya Michezo ni Ajira
Tanzania yajipanga kwa AFCON 2027, kiwanja cha Farasi leaders cha endelea kujengwa. Serikali imeendelea na maandalizi ya kuelekea mashindano ya AFCON 2027 kwa kuendeleza ujenzi wa viwanja vya Farasi na Leaders Club jijini Dar es Salaam. Viwanja hivyo vitatumika kama maeneo ya mazoezi kwa timu zitakazoshiriki mashindano hayo, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuhakikisha Tanzania inaandaa AFCON ya kipekee na yenye viwango vya kimataifa. #UlaghaiWaWanaharakati #TumeYaUchunguziReport Wachochezi Wamejulikana
45
Wakuu nani yupo KYELA Tuzinese chapu tushushie kg 5 za mdudu 🌾
2
58
#BringbackMbeya. Vumbi linatuua walahi
Miundombinu ya Mkoa wangu wa Mbeya ni Mibaya sana hasa Barabara, Mbeya imechimbwa yote 🥹 Mbeya imejaa vumbi, kila kona, jaribu kuwaza Vumbi na baridi. Wakazi wa Mbeya tunatia huruma aiseee Serikali sisi wakazi wa Mbeya tunaomba hizi barabara zijengwe kwa wakati maana hii ni kero mno lakini inaweza kutuletea Madhara kiafya. #BringMbeyaBack
1
7
341
#VisitMbeya 📍 Kisiba
2
7
18
553
#VisitMbeya Karibuni sana wateja kuna punguzo la 5% kwenye bidhaa zetu za nguo.
1
2
9
235
@gabyconscious huku mtaani kwenu ukitoa hili jengo mnabaki na nini?
1
1
5
416
Mbeya University of Health and Allied Sciences
1
4
261
Mbeya kwa matajiri🔥🔥🫡
2
1
57
#VisitMbeya Hii barabara kwa sasa ni Vumbi balaa yaani 😭
4
4
43
4,995
Wakuu nani yupo mitaa hii tuzinese kidogo kisha tupate pepsi
1
4
140