MUNGU MWEMA NIMEAMKA TENA.
Ushuhuda wangu ni kwamba Mungu anapigana vita vyetu, pindi tupitapo katika magumu mengi yeye husimama upande wetu.
Kama ambavyo Mungu anavyotuamsha kwenye magonjwa ambayo hatukustahili kuamka, ndivyo hivyo hivyo Mungu atatuvusha kwenye magumu tunayopitia.
Wale wote mlionitafuta kwa njia moja au nyingine, niwajulishe nimerudi nikiwa imara zaidi.
Ahsanteni kwa wote mlioshiriki kuhakikisha afya yangu inatengemaa.
Niwajulishe tu ninavyotoka hospital kurudi nyumbani nilipita Sabasaba Road.