ASSEMBLE INSURANCE TANZANIA Formally known as AAR Insurance, is the largest, most successful private Insurance company with operations all over the Tanzania

Joined April 2020
1,785 Photos and videos
Pinned Tweet
Story written once again! This marks the second year (2024 & 2025) that we have proudly received this prestigious recognition, a testament to our consistent leadership and excellence in the financial sector. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #Congratulations
2
96
3…..2….ngoja kwanza!! Unaanzaje bata bila kufanya ukaguzi wa usalama wa kesho yako. #TGIF inapendeza zaidi ukiwa na uhakika wa fidia ya hasara yoyote itakayotokea. Kamilisha zoezi kabla ya Go. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #BimaTz #TGIF #Friday #Ulinzi
1
35
Je, ulikuwa unafahamu hili? Hili ndilo lengo la afya bora kwa watu na wafanyakazi! Chukua hatua leo kwa kuwekeza katika afya ya akili na mwili wa wafanyakazi wako kupitia programu yetu ya wellness. Wasiliana nasi leo: ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #Wellness
1
23
Usichukulie poa — bila maandalizi unaweza kuharibu sikukuu yako! Wizi wa fedha unaweza kukurudisha nyuma. Jilinde na Bima ya Fedha kutoka Assemble Insurance. Usisubiri yatokee. Chukua hatua mapema. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #MoneyInsurance #BimaTz #Eid
1
24
Thamani ya malkia wa kweli ni kujilinda 👑 Chukua Bronze Jamii ujikinge na gharama za matibabu na kulazwa hospitalini. Linda afya yako leo, linda kesho yako. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #BronzeJamii #WomensMonth #BimaYaAfya #AssembleInsurance
1
25
Hii inaweza kuwa nyumba yako! Mvua na radi haziwezi kuzuiliwa—but unaweza kujilinda. Pata Bima ya Nyumba kutoka Assemble Insurance dhidi ya radi, moto, mlipuko na mafuriko. Usipokata bima, gharama ni zako! ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #BimaYaNyumba #BimaTz
1
20
We extend a hand of support to all women today. This is a reminder to Give to Gain, give care to yourself, your family, your partner, your work, and your community, and gain love, appreciation, peace, and strength. Happy Women’s Day 🌸 ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
1
14
Upendo wetu kwako hauna kikomo! Ukiwa na bima kutoka assemble insurance unakuwa na uhakika wa kesho iliyo salama. Endapo umeugua, umepata ajali, kupotelewa na mizigo safarini au wizi wa mali zako nyumbani. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
1
31
Finally Endo ameelewa! 😃 Ni muhimu sana kulinda penzi lake kwa kufanya maamuzi sahihi! Kwa mtazamo huo, kati ya Endo na Pendo nani anaupendo zaidi kwa mwezake? Tuandikie kwenye comment. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #EndoPendo #BimaTz #LoveBirds
1
34
Kunogesha penzi ni nini? Ni kutoa suprise kwa yule unayempenda msimu kupitia zawadi ya bima kutoka assemble insurance. Zingatia mambo haya; - Copy ya passport - ⁠Tarehe ya kwenda na kurudi - ⁠Nchi unayoenda - ⁠Kujaza form ya bima yetu ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
1
52
Je, umeinyaka hii kwa ajili ya mubebe? Usipeleke maua sasa, peleka ulinzi wa kesho yake. Upendo ni kumlinda na Bronze Jamii kutoka Assemble Insurance, kwa maelekezo zaidi ya kupata bima hii tupigie leo. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #BronzeJamii #Mpende
1
25
What do you think Pendo has discovered from that conversation? Let us see if you can spill the tea before the next part, tell us in the comments. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #Weekend #ValentineConvo #PendoNaEndo #JipendeJilindeNaAssemble
1
11
PUBLIC NOTICE: We’re hiring, please read the descriptions carefully before applying. Application are open till 8th February 2026 ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsuranceTanzania #AssembleInsurance #JobOpportunity #Wearehiring #YourFutureIsProtected
2
32
Kwani unampenda nani? ❤️ Tukuandalie zawadi yake ya bima kutoka assemble insurance, mwezi huu! Tuambie kwenye comment ⬇️ Au wasiliana nasi leo, tulinde kesho yako ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
1
16
Je, unampango gani na kibunda cha mwisho wa mwezi huu? #Assembleinsurance #Insurancetz #Weekend #January
6
Jinsi ya kuepuka mshtuko huo! Kata bima ya afya kutoka Assemble Insurance kwa gharama nafuu mnoo. Fanya maamuzi mapema, epuka msongo wa mawazo. Tupigie tukuhudumie leo. ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #AssembleInsurance #BimaYaAfya #BilaZaHospitali #BimaTz #UsalamaSahihi
6
How many knew this? late meals don’t cause weight gain, but these things it does: • How much you eat overall • What you eat regularly, eg Junks and sugary foods • ⁠Poor rest and sleeping habits For more information about Wellness, contact us ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
11
This is how we move your business forward. Secure your commercial vehicle against any uncertainties. From business owners, fleet operators, logistics companies, SMEs, we’ve got you covered. Getting insured is easy, just one call and your plan is in motion.
1
10
Kuwa salama na amani muda wote ni namna ya kujijali na kujionesha upendo Assemble Insurance tunahakikisha kukulinda kwenye safari zako, mali zako, biashara yako, na kila jambo lililo muhimu kwako. Wasiliana nasi leo ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300 #Monday #Bima #AIT #insurance
1
2
22
Involved in an accident and you are insured with Assemble Insurance? Don’t panic. Follow these steps: 1. Check for injuries and ensure safety 2. Stay at the scene 3. Call the police and get a PF3 report 4. Take photos/videos of the accident
1
1
1
37
5. Exchange driver and insurance details 6. Contact us immediately 7. Don’t repair the car before assessment 8. Seek medical attention and keep records For more info: ☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300
2
10