Assemble Insurance Tanzania kushikiana na taasisi ya Mazingira Plus, tumechangia idadi ya miti hamsini (50) ambayo itapandawa sehemu mbalimbali katika Jiji letu la Dar Es Salaam.
Jitihada hizi ni kwa ajili ya kupambana na ya mabadiliko ya hali ya hewa.
#AssembleInsurance