Joined June 2010
5,126 Photos and videos
17 Nov 2025
Week of action! ๐Ÿ”ฅ Jumapili hii tutacheza mechi yetu ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema ya DR Congo, mechi itakayoanza saa 10.00 jioni (saa za Afrika Mashariki). #cafconfederationcup #weareazamfc #timuborabidhaabora
4
2
14
6,082
3 Jul 2025
#NewSigningAlert๐Ÿšจ Ni rasmi, beki kinda Lameck Lawi, amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nasi kwa ajili ya msimu ujao! โœ… โœ๏ธ #weareazamfc #timuborabidhaabora
21
37
767
21,219
3 Jul 2025
Stay tuned! โœ๏ธ ๐Ÿ”œ Leo Alhamisi, saa 5.00 usiku. โฐ #weareazamfc #timuborabidhaabora
13
14
217
15,860
20 May 2025
Wanajeshi wetu wa langoni!๐Ÿงค๐Ÿงค #weareazamfc #timuborabidhaabora
6
9
195
12,627
20 May 2025
The work continues! ๐Ÿ’ช๐Ÿป #azamfctraining #weareazamfc #timuborabidhaabora
4
4
96
10,882
15 May 2025
Happy Birthday Petit! ๐ŸŽ‚ Mamadou Samake ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰ #weareazamfc #timuborabidhaabora
3
3
133
8,959
15 May 2025
#Day2 Work in progress! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช๐Ÿป ๐Ÿค @azamfc x @AIKfotboll #azamfcacademy #aikfotboll #weareazamfc #timuborabidhaabora
1
1
38
5,725
15 May 2025
๐Ÿ” DEFENDER! ๐Ÿ”ฅ Takwimu zinaongea! Nahodha msaidizi wetu, Lusajo Mwaikenda, amewapiku mabeki wote kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2024/25, baada ya kuandika rekodi ya kuwa beki aliyefunga mabao mengi zaidi hadi sasa. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
23
10
277
12,692
15 May 2025
Beki wa kulia huyo, amecheza jumla ya mechi 24 hadi sasa, akiwa amefunga mabao saba na kuchangia pasi tatu zilizozaa mabao, takwimu zinazomfanya awe amehusika kwenye mabao yetu 10. #azamfcstats #weareazamfc #timuborabidhaabora
7
3,783
13 May 2025
A massive win at home! ๐Ÿ”ฅ #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
15
10
522
12,431
13 May 2025
2ND HALF! โฐ Azam FC 4-0 Dodoma Jiji #halftime #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
1
3
52
5,388
13 May 2025
4๏ธโƒฃ O'clock! ๐Ÿ”ฅ #halftime #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
2
12
244
7,772
13 May 2025
LUSAAAAAAAJO! โšฝ๏ธ 6' Azam FC 1-0 Dodoma Jiji #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
5
3
293
9,922
13 May 2025
#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu ya NBC, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumanne saa 1.00 usiku. #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
6
9
127
5,995
13 May 2025
๐Ÿšจ M A T C H D A Y ๐Ÿšจ ๐Ÿ†š Dodoma Jiji ๐Ÿ† NBC Premier League ยฎ๏ธ Round 28 ๐ŸŸ Azam Complex ๐Ÿ•ฐ 7.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora
7
17
227
5,206
12 May 2025
We are ready for Dodoma Jiji! ๐Ÿ”ฅ #lasttraining #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
5
3
267
6,736
11 May 2025
#TANZIA Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025. #weareazamfc #timuborabidhaabora
2
7
153
3,438
10 May 2025
Burudani zinaendelea ndani ya Uwanja wa Azam Complex kwenye fainali ya michuano ya Azam FC- UDSM. #azamfcudsmintercollegecompetition #weareazamfc #timuborabidhaabora
1
30
2,445
10 May 2025
#AzamUdsmIntercollege Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kwenye fainali ya mashindano ya Azam FC - UDSM Intercollege. #azamfc #udsm #weareazamfc #timuborabidhaabora
4
10
196
7,835
7 May 2025
#FixturesRescheduled Tarehe mpya za mechi zetu mbili za mwisho za kumalizia msimu huu 2024/25 wa Ligi Kuu ya NBC. (H) ๐Ÿ†š Tabora United (June 18, 2025) (A) ๐Ÿ†š Fountain Gate (June 22, 2025) #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
2
1
133
3,949