Husband/Father/Brother/GenX/๐ŸŒฑ๐ŸŒฝ๐ŸŒพFarmer/Chugganian/Entrepreneur/Lover of Trees ๐ŸŒฒ๐ŸŒณ/I believe in Godโœ๏ธ/Jeremiah 29:11๐Ÿ“–

Joined March 2015
3,010 Photos and videos
Pinned Tweet
Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
33
52
373
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
When we spend time with God studying His Word, we activate His power, wisdom, and truth. #JoyceQuote
37
130
1,062
17,807
Au kama Kondroo ๐Ÿ˜๐Ÿ
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda. Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
15
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda. Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
27
150
842
21,815
Wanadamu wana maneno,,,sometimes you just need to cover your ears and ignore everybody ili angalau mambo yasonge....
22
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช
1
2
119
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
This is what GMO is fighting.. Freedom
7
17
124
4,824
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; [1Wakorintho 13:4 SRUVDC]
1
9
25
176
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Grow Papaya at Home in Pots: The Secret for an Abundant Harvest
6
10
214
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
1500/ @
4
20
47
1,965
Hakika ulimwengu wetu unaumuhimu kwa jamii Nice ๐Ÿ“ธ _by_ @Kev_Kipchiiz
2
8
41
492
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Hello Dearsโ™ฅ๏ธ Kufanikiwa kuko hivi๐Ÿ‘‡wengine wamefanikiwa kwa ukubwa wengine kiasi na wengine bado hawajaanza Kufanikiwa hii inatusaidia kujua kwamba muda wa Mungu ndio unaamua nani atangulie kuwa mkubwa sio kwamba hutofanikiwa ipo siku muda wako sahihi utafika USICHOKE๐Ÿ’ช๐Ÿ˜
32
46
80
2,063
Tuna mwezi 1 wa kupumzika na 1 kuandaa mashamba next kilimo kinaanza na kuna ambao hawapumziki kabisa. Yani ni kama vile umefungulia bomba la maji la shule. Wanafunzi wananawa wengine wanakunywa.
2
4
14
819
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Shauku ya mtu katika mambo ya kiroho ndiyo huwa inaamua ukuaji wake na viwango vikubwa vya kiroho. Hudhuria semina za watumishi wenye maarifa makubwa ya kiroho, sikiliza wahubiri wa ndani na nje kwa bidii, soma neno, takafari, omba kwa bidii. Hataubaki kama ulivyo. Umebarikiwa
1
4
19
433
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
6
15
364
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Tuagizeni maboss ๐Ÿ™๐Ÿผ 0762344677
1
41
49
1,177
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Zaburi 133:1-2 Tazama, jinsi ilivyo vema na kupendeza, Ndugu wakae pamoja kwa umoja. Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yakishuka ndevuni, ndevu za Haruni.
1
30
91
1,248
Aise ? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ž
Osha mikono hiyo, yale maji uwa watu wana kazi nayo ๐Ÿ˜†
2
27
Hapa nilipo ni BWANA amenisaidia ๐Ÿ™Œ
1
8
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Umngoje BWANA, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA. Zab 27:14 SUV
1
5
15
154
๐Ÿ…ฑ๏ธ retweeted
Una tabia sugu ambazo ni ngumu kuziacha. Mpe Roho Mtakatifu nafasi, kaa katika maombi mara nyingi, kaa muda mrefu katika kuomba. Kuna siku utashangaa hazipo, hata kwa kulazimisha huzipati.
2
12
61
935