Offer Namba 1:
Sababu: Imekaa kimtindo unaoonyesha Muuzaji anakujali...
Na Kumjali au kuonyesha unamjali na unamthamini mteja inamjengea mteja imani na wewe.
NB:Kumbuka wateja wengi wanafanya biashara na yule mtu waliyependa kufanya naye biashara....