Filter
Exclude
Time range
-
Near
Good Morning Africa. Africa food and beverage market is projected to reach $1Trillion by 2030 from $313 Billion now. How does Tanzania ASDP2 capture this future?
2
26
1,404
14 Jan 2025
πŸ“Dar es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡―πŸ‡΅ β–ͺ️TANZANIA NA JAPAN ZASAINI MKATABA KUENDELEZA KILIMO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa kilimo vijijini unaojulikana kama β€œAgriculture and Rural Development Two Step Loan Project”. Mkataba huo umetiwa saini Jijini Dar es Salaam kati ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Miyazaki Katsura na kushuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mhe. Fujii Hisayuki, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi, Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, na viongozi wengine waandamizi wa Serikali. Akizungumza baada ya kusaini Hati hizo za Mikataba ya mkopo huo wenye masharti nafuu, Dkt. Nchemba alisema kuwa, utekelezaji wa mradi huo utachochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji kwa wakulima kupitia upatikanaji wa mitaji nafuu na pia itasaidia utoaji wa mikopo ya muda wa kati na mrefu kwa wakulima, vikundi vya uzalishaji, na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo bora na teknolojia ya juu ya kilimo. Aliongeza kuwa Upatikanaji wa mitaji ya kilimo kupitia mradi huo utawawezesha pia wakulima kulima mazao mchanganyiko, na kuwa na kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabia nchi, ambako kutachangia usalama wa chakula, maendeleo vijijini na uimara wa uchumi kwa ujumla. β€œMradi huu unaendana na Mpango wetu wa Maendeleo wa Miaka Mitano ambao una maudhui ya kufikia ushindani na Uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya watu ili kuongeza tija na uzalishaji kwa kutumia rasilimali zilizopo na pia unaendana na Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo ambao unalenga kuimarisha na kuchochea matumizi ya zana za kisasa za kilimo, usalama wa chakula na lishe, kuwezesha upatikanaji wa masoko, na kuwezesha uongezaji wa thamani” alisema Dkt. Nchemba. Aidha Dkt. Nchemba, alisema kuwa Tanzania imenufaika na ufadhili wa Japan kwa miaka zaidi ya 60 hasa kwenye sekta za kilimo, maji, Afya, Nishati, usafirishaji na elimu kupitia kujengewa uwezo kupitia mashirika makubwa ya kimataifa ambako Serikali ya Japan inachangia kwa ajili ya miradi mingine ya kijamii na kiuchumi.Β Β  β€œSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na kushukuru kwa ufadhili ambao umekuwa ukitolewa na Serikali ya Japan ambao hutekelezwa na JICA, Uhusiano huu wa muda mrefu umechangia kwa kiasi kikubwa katika kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi na kuboresha maisha ya Watanzania” alisema Dkt. Nchemba. Kwa upande wake Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Miyazaki Katsura, alisema kuwa Mradi huo unalenga kuboresha uzalishaji wa kilimo na mapato ya wakulima katika mnyororo wa thamani wa mazao manne yaliyopewa kipaumbele katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Serikali ya Tanzania, (FYDP III), ambayo ni Mpunga, Mahindi, Ngano, na Alizeti, na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Bi. Katsura aliongeza kuwa, JICA imekuwa ikiweka kipaumbele katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP III) pamoja na Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP2) katika shughuli zake na itaendelea kushirikiana na Tanzania ili kuendana na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2025. πŸ“Έ:W/Fedha
2
4
583
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa kilimo vijijini unaojulikana kama β€œAgriculture and Rural Development Two Step Loan Project”. Mkataba huo umetiwa saini Jijini Dar es Salaam kati ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan ( @jica_direct_en ), Bi. Miyazaki Katsura na kushuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mhe. Fujii Hisayuki, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi, Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, na viongozi wengine waandamizi wa Serikali. Akizungumza baada ya kusaini Hati hizo za Mikataba ya mkopo huo wenye masharti nafuu, Dkt. Nchemba alisema kuwa, utekelezaji wa mradi huo utachochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji kwa wakulima kupitia upatikanaji wa mitaji nafuu na pia itasaidia utoaji wa mikopo ya muda wa kati na mrefu kwa wakulima, vikundi vya uzalishaji, na taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuziwezesha kuwekeza katika kilimo cha kisasa, kupata pembejeo bora na teknolojia ya juu ya kilimo. Aliongeza kuwa Upatikanaji wa mitaji ya kilimo kupitia mradi huo utawawezesha pia wakulima kulima mazao mchanganyiko, na kuwa na kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabia nchi, ambako kutachangia usalama wa chakula, maendeleo vijijini na uimara wa uchumi kwa ujumla. β€œMradi huu unaendana na Mpango wetu wa Maendeleo wa Miaka Mitano ambao una maudhui ya kufikia ushindani na Uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya watu ili kuongeza tija na uzalishaji kwa kutumia rasilimali zilizopo na pia unaendana na Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo ambao unalenga kuimarisha na kuchochea matumizi ya zana za kisasa za kilimo, usalama wa chakula na lishe, kuwezesha upatikanaji wa masoko, na kuwezesha uongezaji wa thamani” alisema Dkt. Nchemba. Aidha Dkt. Nchemba, alisema kuwa Tanzania imenufaika na ufadhili wa Japan kwa miaka zaidi ya 60 hasa kwenye sekta za kilimo, maji, Afya, Nishati, usafirishaji na elimu kupitia kujengewa uwezo kupitia mashirika makubwa ya kimataifa ambako Serikali ya Japan inachangia kwa ajili ya miradi mingine ya kijamii na kiuchumi. β€œSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na kushukuru kwa ufadhili ambao umekuwa ukitolewa na Serikali ya Japan ambao hutekelezwa na JICA, Uhusiano huu wa muda mrefu umechangia kwa kiasi kikubwa katika kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi na kuboresha maisha ya Watanzania” alisema Dkt. Nchemba. Kwa upande wake Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Miyazaki Katsura, alisema kuwa Mradi huo unalenga kuboresha uzalishaji wa kilimo na mapato ya wakulima katika mnyororo wa thamani wa mazao manne yaliyopewa kipaumbele katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Serikali ya Tanzania, (FYDP III), ambayo ni Mpunga, Mahindi, Ngano, na Alizeti, na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Bi. Katsura aliongeza kuwa, JICA imekuwa ikiweka kipaumbele katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP III) pamoja na Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP2) katika shughuli zake na itaendelea kushirikiana na Tanzania ili kuendana na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2025. @tadbtz
2
9
1,139
#KilimoTips Africa food and beverage market is projected to reach $ 1 Trillion by 2030 from $ 313 Billion now. How does Tanzania ASDP2 capture this future? #KilimoNiAjira
4
22
1,439
Africa food and beverage market is projected to reach $1Trillion by 2030 from $313 Billion now. How does Tanzania ASDP2 capture this future? @AcademyFarms
21
114
8,329
Tanzania needs to be prepared to feed the world. Wars, pandemics and climate change in the past 2 years has taught us something.Tanzania Government was ahead time with ASDP1 Kilimo Kwanza #SAGCOT and ASDP2. As we are gearing up for AGENDA 10/30 we are on safe grounds for succeess
4
21
57
Tanzania major agricultural policy of 21st century is ASDP2. Is ASDP2 private sector oriented or a state-centric development strategy with a secondary role for markets and private sector actors. #InvestTanzania #AgribusinessTanzania #KilimoNiAjira
8
13
"#ASDP2 imeweka msisitizo katika mazao ya chakula, mf. katika mchele tuna soko la thamani ya $300 millioni, hii ina maana kubwa kwa kipato cha wakulima milioni 1.5 wa mazao ya biashara na wakulima milioni 4.5 wa nafaka" ~ Prof. David Nyange #AgricultureWeek #TogetherAt60 ✊||πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1
2
@NBSTanzania's #NSCA2020 shows that paddy/rice accounts for 22.8% of all cereals planted but yields of 2.3 tons/ha remain below #ASDP2's target of 3.0 tons/ha. And now climate change (18.3%) has added to agri constraints
1
2
6
Katika kikao hicho Mkurugenzi wa benki ya maendeleo ya kilimo @JaphetSayi aliwasilisha andiko la miradi zaidi ya 210 ambayo mpaka sasa benki ya TADB imeiwezesha kifedha na dira ya TADB katika kuendeleza sekta ya kilimo kupitia mpango wa 2 wa maendeleo ya sekta ya kilimo(#ASDP2).
1
3
#TREKTA - "Tumeweza kutoa matrekta 19 kupitia mradi wa #MatrektaLoan kijiji cha Narakauo, Simanjiro, tukilenga kutekeleza mpango 2 wa maendeleo wa sekta ya kilimo(#ASDP2) unaoagiza kuongeza tija na uzalishaji mashambani" Jeremiah Mhada - Mkurugenzi wa fedha na biashara(@tadbtz)
#TREKTA - Ndugu mtanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ na mdau wa kilimo, kuna fursa za mikopo ya matrekta zimetangazwa kwa ajili yenu kutoka benki ya maendeleo ya kilimo nchini @tadbtz wakishirikiana na kampuni ya @JohnDeereAfrica na @Lonagro
1
1
3
Sustaining commitment to making agriculture work for nutrition, requires a more comprehensive M&E system that can capture the contributions of nutrition-sensitive agriculture (NSA) in improving nutrition in Tanzania #Nutrition #Agriculture #NSA #ASDP2 #NMNAP #SDG2 πŸ²πŸŒ½πŸ§‘β€πŸŒΎ
1
7
18
#TADB - Toka kuanzishwa kwa mpango wa pili wa maendeleo ya sekta ya #kilimo(#ASDP2) mwaka 2018, Benki ya maendeleo ya kilimo @tadbtz ilikua imetoa mikopo ya Tsh Bilioni 30 kwenye sekta ya kilimo nchini, lakini mpaka leo(2020) benki ya #TADB imeweza kutoa mikopo ya Tsh Bilioni 255
2
1
5
3 Sep 2020
Prof. Siza Tumbo- DPS @Tzagriculture in an interview as part of the preparation of ASDP2 successes documentaries coordinated by @ESRFTZ. @Prof. Tumbo spoke about #agricultural online systems how they assist in the implementation of #ASDP2 @tausi_kida @mnzuki @tzagriculture
3
8
6 Aug 2020
@ESRFTZ’s - #RARIS Project in collaboration with the @tzagriculture have prepared video clips on #Food and #Nutrition Security to showcase successes of #ASDP2 in the last two years of its implementation. @cmusisi2 @mnzuki @HusseinBashe @KilimoForum @tausi_kida
3
8
10 Jul 2020
@ESRFTZ team of experts, @tzagriculture representatives- WRRB, NFRA in a meeting for the advancement of Warehouse Online Application Systems (for inspection mgnt, operation of warehouse,registration of warehouse & commodity mgnt) for supporting the implementation of ASDP2 @mnzuki
5
"Tumekua na semina elekezi toka tunapata uhuru, now is enough, fedha za kilimo ziende moja kwa moja kumgusa mkulima na tuone matokeo, tuna mpango wa ASDP2, unatoa maelekezo wapi tuwekeze, hatutoruhusu fedha za semina na mafunzo, tumeshafundishwa vya kutosha" 🎀 Hussein Bashe
1
10
Habari za asubuhiπŸ™‹β€β™‚οΈ Wiki hii tutaangaza bajeti za Wizara mbili muhimu (Kilimo, Mifugo na Uvuvi)πŸ“ *Dira na malengo mapya ya kisekta *Changamoto za masoko, mitaji, uzalishaji, Vijana *Vipaombele vya kisekta *Malengo ya TDV(2025), ASDP2, TLMP. Updates zote tutakuletea hapaπŸ“±
1
5
10
Asante ndugu @LugendoPrudence, ni kweli kabisa, hii itasaidia utekelezajiwa wa ASDP2 kama fedha hizi zikitengwa na kusimamiwa vizuri katika mipango na utekelezaji.
@HusseinBashe @innobash @tzagriculture @ANSAFForum @MVIWATA @SokoineU @MwombekiBaregu @ESRFTZ @AudaxR @REPOA @BBuganzi @WBTanzania @FAOTanzania @SAGCOT @tpsftz @BBuganzi I think this could be one of source to finance ASDP II if enforced properly across all LGAs in Tanzania
2
2
Mahindi, Ndizi, Mihogo, bidhaa za mifugo(nyama), Ngano na Mafuta ya mawese ndio mazao yaliyoonekana kufanya vizuri katika soko la bidhaa(Agricultural commodity trade and market) nchini Tanzania hadi mwaka 2010. Je hali sasa ikoje, kuna mabadiliko yoyote? Source: #ASDP2 report
1
3
8