Gari nyingi nowdays taa ya checkengine inawaka, boychild kuwa makini sana usije ukajikuta utafutaji wako mgumu unaishia kwenye maisha ya mateso na taabu, sio kila gari ni la kupanda na kuendesha magari mengine ishia tu kuyaona barabarani halafu pita zako kushoto.