Hii ilinitokea jana, siku nzima kichwani inakatiza ๐๐ฝ
"Babe wajua why, usije jaribu kwenda mbali....nananan naaa why why why"
Ilinitesa sana,dakika za jioni ndio nakumbuka ni "Squeezer & Dataz" ๐
Leo toka naamka kichwani naskia "Utamaduni wangu ni kuuliza why? why? why? why?"
Lakini kila nikilazimisha kukumbuka taito ya wimbo ndio nadunda