Ukitaka kujua Overrated Clown wa mda wote, nenda kaangalie Fainali ya Kombe la Dunia Marudio 2002 dhidi ya German, R9 alifunga goli mbili na kombe Brazil wabeba, ila kaangalie alichokuwa anakicheza mana shabiki zake wanadai mpira ni zaidi ya Magoli, we kaangalie bila kusikiliza wachambuzi, Tumia akili yako na macho yako afu uje na Majibu, R9 na Mbappe nani bora, Nasubiri majibu yenu hapa. Au kaangalie mechi zote alizokuwa na jezi ya Real Madrid, ni mechi chache sana amefanya Maajabu mashabiki zake wanajifichaga nyuma ya majeruhi utafikiri majeruhi aliumwa peke yake Duniani.
If Overrated was a person then that person is Ronaldo De Lima 😄 🤣, Eden Hazard angecheza kile kizazi angeitwa Mungu wa mpira.