Kuna File hapa la Spotify una install kwa simu yako inakuwa na feature zote za premium ambacho huwezi kufanya ni kudownrd tu ngoma ila kila feature iipo no Ads, statistic ipo, uodates, messages, library n.k wazee wa vitonga na wagumu kulipia mkuje niwape