Filter
Exclude
Time range
-
Near
25 Aug 2025
Hongera sana dada @FarajaNyalandu kwa kazi kubwa unayofanya kuchangia mapinduzi ya elimu na ujifunzaji inayotambulika ndani na nje ya nchi. Katika enzi hizi za mageuzi makubwa ya elimu nchini yanayodai matumizi ya zana za kiteknolojia katika ujifunzaji na ufundishaji, juhudi kama hizi zinaashiria mema makubwa kwa nchi yetu. Kwa hakika hizi ni habari njema kwa kila mdau wa elimu anayetamani watoto wapate elimu bora na yenye tija. Tunahitaji mifano mingi zaidi inayofanana na @ShuleDirect na @ndotohub.
1
1
3
762
11 Aug 2025
Siyo kwa ubaya, ila sijaona celebrities wa kiume wakirudisha kwa jamii katika namna ya kudumu kama Celebrities wa kike. @FlavianaMatata yeye anarudisha kwenye elimu na afya kwa watoto wa kike, @FarajaNyalandu yeye alikomaa kwenye elimu kupitia #ShuleDirect. MUNGU awazidishie πŸ™
2
4
167
Last week, we had the pleasure of hosting a partnership meeting between @shuledirect and @sheria_kiganjani teams. Together, we explored meaningful ways to collaborate in promoting access to justice for students in schools.
1
2
37
1 Aug 2025
Nimegundua leo kwamba @FarajaNyalandu jina lake HALIKUPITA/HALIKURUDI Jambo/Mambo amefanya kwenye tasnia ya elimu kwa kupitia jukwaa la #ShuleDirect ni mfano wa pekee kwamba mtu unaweza kuwa na mchango mkubwa kwa jamii bila kuwa kwenye majukwaa ya siasa, she is that good and i was hopping that she goes through all the way. Brilliant WOMAN with great mind, i wish her all the best in other endeavors.
29 Jun 2025
Mkurugenzi wa Taasisi ya Shule Direct na Mdau wa maendeleo ya elimu pamoja na mafunzo ya ujasiriamali kwa Wanawake, Faraja Kotta ( @FarajaNyalandu ) ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2004, amejiunga kwenye mbio za kisiasa kwa kuchukua fomu za Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia Jumuiya ya UWT Mkoa wa Tanga. #MillardAyoUPDATES
1
1
4
611
Through the Teacher Kidevu App, an artificial intelligence powered system developed by @ShuleDirect to help teachers and students access educational content in an innovative and user friendly way @FarajaNyalandu has made history by driving transformative change in Tanzania's education sector. thecitizen.co.tz/tanzania/ma…
4
10
1,182
Asante sana kaka
18
The stories I love to hear !
1
3
1,086
Hapa locally wareport ii story 2030 when maybe the company is bought by a Tech giant. Kwa sasa ni Raila, Ruto, Broad based and who is shagging whose wife
3
875
The kind of stories I want to hear πŸ™
1
4
1,312
Hongera kwa kazi nzuri dada Faraja.
1
1
2
1,070
Great stuff
1
1
1,232
Let’s talk. Data is the new gold!
1
2
34
Amina kaka. God is good πŸ™πŸ½
21
Thank you dada
1
33
Oyooooo πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
1
183
Hey Larry, I'd love to partner @FarajaNyalandu to support @FarajaNyalandu's data-driven innovation by accelerating data availability, access, quality, security and privacy compliance for her prospective clients. Profile below
1
3
5
215
Wabongo mnatisha! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ™ŒπŸΎ
5
4
56
10,520
Proud moment as our founder @FarajaNyalandu is featured on CNN #AfricanChangemakers, sharing the story behind @ShuleDirect and her mission to transform education through technology. #ShuleDirect #EdTechAfrica #AIforEducation #AfricanVoices
This Tanzanian tech entrepreneur was doing AI before it was mainstream. She's also a lawyer and a former beauty queen. @FarajaNyalandu started Shule Direct because too many kids were failing exams. I spent some time with her in Dar for CNN
6
7
794