RVR ni choice nzuri sana
Faida zake:
Ndogo kuendesha na kupaki – easy town.
Ground clearance nzuri kuliko Rumion, mashimo si shida sana.
Engine 2.0/2.4 ni imara kama service inafanywa vizuri.
Vincheck Info
Matumizi ya mafuta ya kawaida, spare zinapatikana.