Lodhia Industries!
Muonekana wa Bati zinazozalishwa na mradi huu wa uwekezaji kupitia Lodhia Industries, Bati ni moja ya vifaa zinazozalishwa kwenye mradi ambazo mpaka sasa uzalishaji wa bati pekee umewekeza dola za kimarekani 52 million, nje na hilo kiwanda hiki kinatengeneza bidhaa nyingine kama nondo, tritan,wirerod, PVC pipes, HDPE pipes na Hollow section,
Mradi huu upo Mkuranga Pwani na ni mradi uliosajiliwa na TIC