⚡️ Ni ads ambazo zinatokea katika chrome ya PC, Android & iOS pia.
Haziishii katika platform moja tu, na hapa wengi wanadhani ingetokea katika android pekee.
Ubaya wa hizi malware na adsware ni kuna muda utakuta google chrome yako imejibadili vitu bila ruhusa yako.