Joined November 2020
3,223 Photos and videos
HabariTech retweeted
Mtandao wa X. Sio wa biashara. Hapa ni elimu basi. Mtandao wa biashara ni ticktock na Instagram na whatsapp.
Naipenda X sababu imekuza jina la HabariTech na hakuna sababu nyingine. Ila sasa hivi napost zaidi TikTok na Whatsapp kwa sababu zifuatazo. -X iko overrated sana, ila haina maajabu kwangu. -Sijawahi kupata paying client toka X 🀣. Sidhani kama nimewahi pata mtu anayelipa hata buku huku. -VPN. Hii kitu naichukia sana. HabariDuka imeuza sana kupitia Whatsapp. AkibaPlus imepata watumiaji wengi kutoka TikTok. X 🀐 huku banter kama kuambiwa hapa story tu kula kwenu. Kitu X imenipa ni mafunzo. Kuna talent sana huku watu wanaojua katika kila niche. Ndicho kikubwa huwa napata hapa X.
1
1
5
179
HabariTech retweeted
Replying to @HabariTech
X ndo ilinisogeza kupata skills kuliko mitandao wowte ulee ulinifanya kujua data analytics na ku master vizuri zaidi ila pesa nimepata sehemu nyingine
1
1
2
332
HabariTech retweeted
Ukishindwa kueleweka. Automatically unakua umeshindwa kutengeneza pesa kupitia brand yako. β†’ Jijenge kwa value. β†’ Systemize your contents. β†’ Connect na watu wanaokuongezea thamani. 2026 is definitely the year of doing GREATNESS.
1
7
19
311
Coding in Silence always.
Hey developers, which side are you on? -coding in silence -coding with music
2
197
Naipenda X sababu imekuza jina la HabariTech na hakuna sababu nyingine. Ila sasa hivi napost zaidi TikTok na Whatsapp kwa sababu zifuatazo. -X iko overrated sana, ila haina maajabu kwangu. -Sijawahi kupata paying client toka X 🀣. Sidhani kama nimewahi pata mtu anayelipa hata buku huku. -VPN. Hii kitu naichukia sana. HabariDuka imeuza sana kupitia Whatsapp. AkibaPlus imepata watumiaji wengi kutoka TikTok. X 🀐 huku banter kama kuambiwa hapa story tu kula kwenu. Kitu X imenipa ni mafunzo. Kuna talent sana huku watu wanaojua katika kila niche. Ndicho kikubwa huwa napata hapa X.
7
5
43
6,349
HabariTech retweeted
Uandishi wa code umekuwa bidhaa ya kawaida, lakini "System Architecture" ndio inayolipa. Sio kila anayeandika code ni Engineer. Fungua macho hapa. πŸ‘οΈβš‘ @makeleletech #TechCommunity #SoftwareArchitect #DeveloperMindset
3
4
16
1,337
HabariTech retweeted
App yangu niliyotengeneza kwa kutumia Ai inatoa ajira ya pili ya moja kwa moja sasa, ni kitu ambacho wakati naanza nisingeweza kumwelezea mtu akaelewa. WebYetu ni yetu sote. @WebYetu
1
2
3
439
Hapa lazima kidogo akili ikae sawa. Ni kutafuta namna kwamba hata device ikipata network inasoma 10Kbps ikijaribu kufanya sync, aidha iende au ifeli lakini sio ipeleke data nusu nusu na nyingine ziwe corrupted.
Replying to @Akintola_steve
Step 2: The sync engine is the hardest part Syncing local data with a remote server sounds simple It is not simple You have to answer these questions: When does a sync happen? (on reconnection? on a schedule? both?) What gets synced first when the connection is restored? (most recent changes? most critical data?) What happens when the same record is modified locally and remotely while offline? (conflict) How do you know what changed since the last sync without sending everything? (delta sync) The sync engine is where most offline-first implementations break down because teams underestimate it.
1
3
113
Kitu nimefanya na AkibaPlus ni hiki kuifanya iwe offline first. Hata ukiwa IgangiDungu ndani ndani kule app unatumia bila shida. Record zako zinaendelea kuwepo muda wote na kwa usahihi kabisa.
If you're building an application, and you've never thought about what happens when the network disappears, you've built a beautiful piece of rubbish The best apps in the world work in Lagos Island traffic, in a village in Kogi State, in a London tube with no signal This thread explains exactly how to build an offline-first architecture that works anywhere, regardless of bandwidth Save this and share it. Your team needs to read it.
1
103
Kuna watu huwa nikiwaambia kuna utofauti kati ya Software Engineer na Software Developer huwa wanabisha sana.
There is a software engineer, and there is a software developer. They are two different things. What is the difference?
1
119
Kila mtu anatamani ajue anawezaje kutengeneza websites na software nyinginezo. Uwepo wa AI huenda umefanya hili jambo liwe rahisi sana, ila bado wengi wanafanya makosa na hawajui pa kuanzia. AI ilichorahisisha ni kukupa timu nzima ya software dev sehemu moja na weqe kubaki kuwa PROJECT MANAGER. Unapokuwa Project manager mara nyingi hata hautahitaji kujua wala kuelewa sana code ya program mstari kwa mstari inafanya nini. Hiyo ni kazi ya programmers, kazi yako wewe ni kuwa software engineer anayeelewa hiyo software product inabidi ifanye nini? Kwa namna gani? Iwe na usalama wa namna gani? Watumiaji wataitumia vipi? Itakuwa deployed to production kwa namna ipi na wapi? Hivyo ni baadhi ya vity unavyohitaji kujua. Natamani sana watu wajifunze, waelewe na walau waweze kuwa project managers au software engineers ambao wanaweza kutengeneza softwares bila kujua programming. Niliwahi kuwapa elimu ya kujifunza programming bila kwenda chuo. Leo nawapa darasa ya VIBE CODING. Yani kutengeneza software bila kuwa na ufahamu wa programming languages. Mtu anaweza kuona hauwezekani, ila inawezekana. Mfano mimi mwenyewe siijui flutter ya kutengeneza Mobile Applications, ila nimetengeneza App ya AkibaPlus na ndani ya wiki mbili na siku tatu imepata watumiaji 104 na inafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu. Yote sababu najua product inabidi iwe vipi na natumia AI kama team yangu ya programmers. Muhimu ni kuweza fikiria kama software engineer na product manager. Hiyo ndiyo sababu nimeleta hii masterclass ambayo itafundisha kila kitu na hata mtu ambaye hakuwa anajua kabisa chochote kuhusu software development atatoka akiwa anajua na anaelewa wapi anaanzia na ataweza tengeneza software. Nina nafasi za watu 12 na kati hao ikiwa mtu atatoka bado hawezi kutengeneza software nitamrudishia pesa yake. Masterclasss: VIBE CODING MASTERCALSS Tarehe: 1 mpaka 7 July 2026 Mahali: Online Gharama: TZS 150,000 kwa kila mtu baada ya malipo utapewa access Zimebaki nafasi 10 mpaka sasa. Unahitaji kuwa na vitu viwili tu. COMPUTER & INTERNET @ally_eh @gabyconscious
3
6
281
Kila mtu anatamani ajue anawezaje kutengeneza websites na software nyinginezo. Uwepo wa AI huenda umefanya hili jambo liwe rahisi sana, ila bado wengi wanafanya makosa na hawajui pa kuanzia. AI ilichorahisisha ni kukupa timu nzima ya software dev sehemu moja na weqe kubaki kuwa PROJECT MANAGER. Unapokuwa Project manager mara nyingi hata hautahitaji kujua wala kuelewa sana code ya program mstari kwa mstari inafanya nini. Hiyo ni kazi ya programmers, kazi yako wewe ni kuwa software engineer anayeelewa hiyo software product inabidi ifanye nini? Kwa namna gani? Iwe na usalama wa namna gani? Watumiaji wataitumia vipi? Itakuwa deployed to production kwa namna ipi na wapi? Hivyo ni baadhi ya vity unavyohitaji kujua. Natamani sana watu wajifunze, waelewe na walau waweze kuwa project managers au software engineers ambao wanaweza kutengeneza softwares bila kujua programming. Niliwahi kuwapa elimu ya kujifunza programming bila kwenda chuo. Leo nawapa darasa ya VIBE CODING. Yani kutengeneza software bila kuwa na ufahamu wa programming languages. Mtu anaweza kuona hauwezekani, ila inawezekana. Mfano mimi mwenyewe siijui flutter ya kutengeneza Mobile Applications, ila nimetengeneza App ya AkibaPlus na ndani ya wiki mbili na siku tatu imepata watumiaji 104 na inafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu. Yote sababu najua product inabidi iwe vipi na natumia AI kama team yangu ya programmers. Muhimu ni kuweza fikiria kama software engineer na product manager. Hiyo ndiyo sababu nimeleta hii masterclass ambayo itafundisha kila kitu na hata mtu ambaye hakuwa anajua kabisa chochote kuhusu software development atatoka akiwa anajua na anaelewa wapi anaanzia na ataweza tengeneza software. Nina nafasi za watu 12 na kati hao ikiwa mtu atatoka bado hawezi kutengeneza software nitamrudishia pesa yake. Masterclasss: VIBE CODING MASTERCALSS Tarehe: 1 mpaka 7 July 2026 Mahali: Online Gharama: TZS 150,000 kwa kila mtu Namna ya kulipia ni kupitia link hii duka.habaritechnology.com/ha… baada ya malipo utapewa access Zimebaki nafasi 10 mpaka sasa. Unahitaji kuwa na vitu viwili tu. COMPUTER & INTERNET @ally_eh @gabyconscious
2
5
5
315
HabariTech retweeted
When I built my skincare company in Senegal, the hardest part wasn't making a great product. My team is incredible, and they proved that from day one. The hardest part was navigating a system designed to squeeze money out of you at every turn. Permits, inspections, fees, delays, and then more fees on top of the fees. THAT is what keeps Africa poor, not a lack of talent or ambition.
87
346
1,482
35,447
Kuna vita kali sana kati ya Wawekezaji wa Hisa Vs Keyboard warriors Vijana wanaojifunza uwekezaji Vs Watu ambao wana biashara zinawapa walau 50,000 per day.
2
135
HabariTech retweeted
Every time someone buys from you… They’re saying one thing: β€œI trust you.” Not your logo. Not your design. Not your hype. You. And most people get this wrong. They focus on selling more… instead of becoming more trustworthy. Here’s the shift: Trust is built when you: β€’ Solve real problems β€’ Deliver what you promise β€’ Show your process β€’ Stay consistent And one of the fastest ways to build that trust? Create more useful products. Each product is proof. Each sale is validation. Each satisfied customer compounds your reputation. Don’t just chase sales. Build something people can trust… then give them more of it.
1
3
9
473
This is what I am working on. A personal finance app for tracking expenses, income, investments, loans and insurances. Specifically Tailored for a Tanzanian
1
11
346
Nimekuwa busy kutengeneza App ya AkibaPlus mpaka nimesahau kuna HabariDuka na X 😁 App iko tayari na APK inapatika hapa akibaplus.habaritechnology.c… Sasa nipitie timeline kuona yaliyojiri. Hizi ni baadhi ya screenshot za ndani ya app.
3
7
20
1,120
HabariTech retweeted
Bila marketing hakuna atakaye kuona. Bila brand hakuna atakaye kuamini. Kwenye Biashara unahitaji vyote viwili. Wengi wanachanganya hapa. Kurun ads = marketing Kuwa na logo = branding. Ukweli ni Marketing = kupata attention Branding = kujenga uaminifu
3
13
47
1,275
Kunako elekea sasa nitafanya masterclass ambayo itafanya mtu yeyote aweze tengeneza apps na mifumo. Unachohitaji ni muda na utayari wa kujifunza. Sema ada yake Watanzania mtasema naiba. TZS 150,000 per person. Somo la wiki moja tu. Nafasi 15 tu. Hata watu wawili tu nitafundisha ili niwatoe misconception mlizo nazo.
3
4
18
1,459
HabariTech retweeted
Mmmiliki wa Meta akiwa na miaka 19 tu alituletea Facebook, matajiri wakubwa wa Tech wote ni Millenial. Ila ukiwakuta Gen Z watoto wa 200 wanajikuta wao ndo wanajua kila kitu akati wanatumia Products za Millenial.
10
5
94
4,538