Goat zero grazing tips
Usifanye kama..
> huwezi kupanda malisho mwaka mzima
> huna mabanda ya kuwagawa kwa makundi.. ili ucontrol breeding
> huna elimu ya uzazi
> huna elimu ya matumizi ya pumba
> huwezi kutunza taarifa za kila mbuzi.. I mean kila mbuzi - ear tagging