DREAM LOVE CREATE FIGHT SURVIVE WIN

Joined February 2021
4,728 Photos and videos
Pinned Tweet
2 Feb 2023
I have been featured on @HabarizaUN πŸ™ #AzollaFarming to the world πŸš€
Azolla, gugu maji liligeuka mkombozi kwa wakulima, wafugaji na vijana Tanzania Azolla inachukua siku tatu tu tangu kulimwa na inakuwa imekamilika kuvunwa na kupatiwa mifugo kama kuku, ng’ombe na nguruwe. news.un.org/sw/story/2023/02…
46
62
246
83,460
Nyie majamaa mnaendeleaje humu ndani πŸ˜…
2
86
Umetisha mzee
Kuna yule jamaa yupo moro ana uza miche ya matunda Naomba Handle yake wazee .. πŸ™
1
251
Nani anazo hizi ?
1
1
6
500
Nahitaji hizi t-shirt za olive green za manga au cotton wakuu. Whatsapp 0754302242
1
4
11
555
21 Dec 2025
Sesko funga leo sijakukatia tamaa
3
401
20 Dec 2025
Nani anaweza kunitengenezea board kali hapa morogoro, ya kuandika na chaki?
2
313
14 Dec 2025
Nunueni miti sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
14 Dec 2025
Replying to @iAmLyimo
@iAmLyimo ushatoboa tajiriπŸ˜‚
5
464
12 Dec 2025
"Siwezi kusema chochote nishawaambia" 0 - communication skills, mliwapika bure hawa watangazaji πŸ˜‚πŸ˜‚
Replying to @Rydx_017
Washaprint na kuweka kichwa cha habari kuwa msanii kagoma kujibu interview πŸ™†β€β™‚οΈ
1
681
9 Dec 2025
Kama wewe ni Gen Z, ni salamu gani moja unaweza kutumia kwa Wakubwa, professors, maskini, matajiri au age mates wako bila kufeel umewadisrespect ?
5
2
41
3,088
8 Dec 2025
Mmemaliza mikate madukani wakuu.
2
19
1,298
Beno Lyimo retweeted
Rt
7 Dec 2025
Nashukuru sana mkuu, wewe ni moja ya wateja ambao natamani kupata, kila siku feedback 🌱πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜ƒ
1
2
2
392
7 Dec 2025
Nashukuru sana mkuu, wewe ni moja ya wateja ambao natamani kupata, kila siku feedback 🌱πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜ƒ
Replying to @ZuwenaKhatib
Ongea na kiongozi wangu @iAmLyimo Ni mtu sana πŸ™
2
9
823
Beno Lyimo retweeted
Replying to @ZuwenaKhatib
Ongea na kiongozi wangu @iAmLyimo Ni mtu sana πŸ™
2
2
6
758
Beno Lyimo retweeted
Fully satisfied πŸ˜‚
10
13
151
7,088
1 Dec 2025
Leo wakati nafanya trellising kwenye nyanya karibia nianguke, ila nikawa fasta kama PAKA Wakulima wa vitunguu na mahindi acheni hizo πŸ˜‚πŸ˜‚
2
1
14
708
30 Nov 2025
Epuka ajali za kuanguka kwenye miti mirefu🌱 Piga πŸ“ž0754302242 Ujipatie miti ya matunda ya kuvuna ndani ya muda mfupi πŸ“SUA, Morogoro
2
3
177
28 Nov 2025
Hapo kwenye 0:26 huwa pananifanya nicheke mwenyewe barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚
Msemaji tumepigwa na kitu kizito. Sasa kama tu vyombo vyako haviwezi kumpata mtu ,kwamba ni sisimizi haonekani anakuwa amekwenda wapi Kauli hii inaashiria kwamba basi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hakuna kitu ndio sababu kubwa.
1
3
766
28 Nov 2025
Hi Everyone Hili ni chungwa aina ya Valencia Ni tunda nzuri kwa matumizi ya nyumbani na kulima kibiashara Miche iliyokwisha anza kuzaa utaipata kwa Tsh, 10,000/= tu Mikoani Tunatuma Call πŸ“ž 0754302242 πŸ“SUA, Morogoro
2
4
15
1,284
28 Nov 2025
@EliabuDanford & @ReganTesla_ nipeni comments hapo, Mimi nilikuja kushtukia nina uwezo mdogo wa comm skills ikabidi nianze kukaza Hiyo ni video ya jana πŸ˜‚πŸ˜‚
2
2
346
28 Nov 2025

13 Nov 2025
Ni ngumu kupost humu ndani lakini wakulima lazima tulime watu washibe ili mambo yaende vizuri.
1
3
211
28 Nov 2025
Wanakupika lakini communication skills ni ngumu sana mze, replace filler words kama "aaah" "mmmh" kwa ku pause. Hauko mwenyewe πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo nilipata nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wataalamu wa Kompyuta nchini Kenya. Mkutano huo umefanyika Kilifi County kuanzia tar 24 mwezi huu na unatarajiwa kumalizika kesho huku mada kuu ikiwa ni β€œNavigating the Era of AI and accelerating digital revolution” Miongoni mwa vitu nilivyozungumza ni pamoja na. - Namna serikali za Afrika zinaweza kutumia teknolojia ya AI kwenye kuboresha Sekta ya ajira na kazi. - Namna uzimaji/ufungaji wa mitandao unavyoathiri vipato vya vijana wengi ambao chanzo chao kikuu cha mapato ni mitandao. - Namna serikali za Afrika zinavyoweza kutumia uchumi wa kidigitali kama njia ya kupunguza tatizo la ajira. Nashukuru wanachama wa chama cha wataalamu wa kompyuta Kenya kwa kunipa nafasi ya kushare machache ninayoamini kwa namna moja ama nyingine yanaweza kukomboa vijana wa kiafrika kwenye zama hizi za teknolojia.
2
308