Joined June 2023
Photos and videos
Pinned Tweet
Amen
5
8
10
1,446
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Mungu atupe uvumilivu Mteja anapiga simu anahitaji kitu fulani bei kaiona, anasema anakuja.. ..kufika dukani anaomba umpunguzie bei, unafanya hivyo..anataka tena umpunguzie unamwambia hapana..analalamika ametoka mbali& brabra...sasa si ungeomba discount kabla hujaja dukani🙄
13
27
70
1,926
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Happy birthday to me Sarafina Mungu ni mwema sana maishani kwangu 🙏
259
169
735
48,888
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Madenge aliniambia 'ooh unajua serikali imedai tunalipwa, sasa ni vema na sisi kuonesha yes tunalipwa na kuwashukuru wafadhili.' Sikumuelewa! Nikauliza tena - nani amekupa hayo maudhui? Akasema 'kuna jamaa yake anafanya kazi Ford South Africa ndiye kampa.'
21
108
687
28,621
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
3
324
614
7,302
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
MFANO WA MAZUNGUMZO NA TAJIRI (WHATSAPP / DM) Usianze hivi , Wewe: Boss naomba unifundishe biashara. Tajiri : (Anaona na hakujibu.) Hakuna mtu ana muda wa kufundisha stranger. Conversation (Hivi ndivyo inavyotakiwa kuonekana) 🧵👇🏼
4
22
98
16,211
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Mwaka 2011 tulienda beach ya Mikadi kipindi hiko ya moto sana. Jamaa demu wake birthday anafanyia kule kipindi hiko mambo ya camp camp mnasombana kibao kufika kule wahuni wengi mno. Jamaa alibeba Keki alinunua kongowe Mbagala palikuwa na ki supermarket fulani hivi karibu na
28
37
404
34,680
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Nahitaji hizi t-shirt za olive green za manga au cotton wakuu. Whatsapp 0754302242
1
4
11
555
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Boss: “You arrived 10 minutes late.” Employee: “Yesterday I stayed late finishing that last-minute report.” Boss: “I understand… but rules are rules.” The next day, the employee arrived exactly on time. And at 6:00 p.m. sharp, shut down the computer. No extra emails. No work taken home. If punctuality is non-negotiable, then effort must have boundaries too. Recognition cannot be one-sided. When mistakes are highlighted but dedication is ignored, the real message becomes clear: “Do only what’s required. Nothing more.” Empathy costs nothing. The absence of it? That can cost you everything—especially your best people
3
35
147
74,260
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
28 Dec 2025
Boss: “You arrived 10 minutes late.” Employee: “Yesterday I stayed late finishing that last-minute report.” Boss: “I understand… but rules are rules.” The next day, the employee arrived exactly on time. And at 6:00 p.m. sharp, shut down the computer. No extra emails. No work taken home. If punctuality is non-negotiable, then effort must have boundaries too. Recognition cannot be one-sided. When mistakes are highlighted but dedication is ignored, the real message becomes clear: “Do only what’s required. Nothing more.” Empathy costs nothing. The absence of it? That can cost you everything—especially your best people
198
3,143
16,214
2,544,679
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
27 Dec 2025
Kuna msemo wa kina dada “Mwanaume anaekupenda lazima atakuhudumia” lakini kuna ukweli hawaujui, “Hakuna mwanaume ambaye hataki kumuhudumia mpenzi wake ni vile tu tunakua tuna mishe tunasikilizia” Na unaweza ukaona pesa ipo kabisa na usipewe tambua fika kuna ndoto tunazipigania.
1
12
34
1,982
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
23 Dec 2025
TUMEFANIKIWA KUREJESHA TABASAMU LA CATHERINE NDANI YA MASAA 16 TUMEPATA MILLION 15.ZAIDI YA MARA 3 YA MALENGO YETU YA TSH M.5. NGUVU YA UMMA IMESHINDA. Mwaga moto, mwaga moto 🔥🔥🔥🔥🔥 Ahsanteni sana kwa wote mlioguswa na kushiriki sadaka hii Mungu atawalipa kwani mmeshiriki sadaka ya haki. Catherine na familia yake wamejawa shukrani ya ajabu, Catherine kwa michango yenu atamalizia Chuo mwaka wa tatu kwani alikata tamaa ya masomo yake. Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam. Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar. Catherine alikosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani. Mahitaji ya Catherine na familia yake yalikua kama ifuatavyo. 1.Ada ya Chuo Million 1 2.Bima ya Afya 3.Kodi ya Nyumba 4.Mahitaji ya kila siku 5.Matumizi ya Kaka yake magereza Mawasiliano yake ni 0610981968 Catherine johaness protace REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵😎
46
332
1,918
41,721
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
22 Dec 2023
Wahovyo Poll Thread 🧵🧵🧵 Muda wa wajumbe kufanya maamuzi magumu ni sasa here We go 👇
293
429
1,631
203,176
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
19 Dec 2025
Perfect for your desk, TV stand, shelf or that empty corner judging you. Brings big energy and good vibes. ☑️ Handmade. ☑️ Office and home approved. ☑️ Small elephant big statement. 💰price start from 15k and increase depending on size. 📞: 0612463635. 📍: Mwenge mpakan.
3
35
52
2,707
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
God, when You bless them with a life partner, let it be someone who supports their business, their hustle, and their work. Someone who understands that it won’t always be easy, but is willing to grow with them through it all. AMEN
11
53
168
4,402
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Wakali mnene Munisi kafikisha wafuasi laki mbili na sio chawa wala nini yeye anapiga business zake bila kuumiza maisha ya wengine kifupi huyu sio chawa. Naombeni retweet za kutosha nidake hilo tambo nikae rada si mnajua dunia ipo kiganjani. @NjiwaFLow
17 Dec 2025
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏 Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store Washindi watano 1: Samsung A06 64GB 2: Redmi Watch 5 Active 3: Redmi buds 6 play 4: Redmi buds 6 play 5: Redmi buds 6 play @grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.
25
209
223
27,285
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
Wanangu fanyeni jambo mamantilie nipate moja ya kupigia picha misosi ionekane🥱 Rt hapa 🙏 @NjiwaFLow
17 Dec 2025
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏 Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store Washindi watano 1: Samsung A06 64GB 2: Redmi Watch 5 Active 3: Redmi buds 6 play 4: Redmi buds 6 play 5: Redmi buds 6 play @grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.
73
331
314
43,967
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
17 Dec 2025
💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏 Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store Washindi watano 1: Samsung A06 64GB 2: Redmi Watch 5 Active 3: Redmi buds 6 play 4: Redmi buds 6 play 5: Redmi buds 6 play @grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.
65
104
247
215,302
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
GEORGE ANAHITAJI MSAADA WAKO ILI AWEZE KUTEMBEA TENA. Huyu anaitwa George Wayanga aliwahi kuwa Katibu wa BAVICHA Wilaya ya Chunya kipindi cha 2014-2019 na amekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Chunya 2019-2024. Siku za hivi karibuni alipata ajali iliyopekea kukatwa mguu wake kwasasa anatumia magongo ili aweze kutembea. George anahitaji msaada wa hali na mali ili aweze kupata mguu bandia ambao gharama yake ni TSH 2,200,000/= Hivyo tunaomba mchango wako kiasi chochote ulichojaliwa na Mungu ili George aweze kupata mguu bandia ambao utamuwezesha kutembea na kuendelea na shughuli zake za kila siku. Mchango wako unaweza tumwa kwenye hii namba M-PESA 0760638604 Jina: George Wayanga. Natanguliza shukrani za dhati.🙏🏻
43
427
1,428
58,373
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
10 Dec 2025
Ukienda kutafuta kazi kwenye makampuni binafsi ongea sana na walinzi na wale watu wa usafi. Utapata madini sana kuhusu iyo kampuni.
27
98
565
15,480
Gregory mendel Dr.Mr_P 🌏 retweeted
TANZANIA HAIKUWA KOLONI; UHURU NI WA TANGANYIKA Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ------- Miaka 64 imepita tangu Tanganyika ipate uhuru kutoka kwa “Mdhamini” wetu Uingereza. Mkoloni wetu wa kweli alikuwa Mjerumani. Kiuhalisia Mdhamini na Mkoloni walikuwa ni wale wale tu. Leo 9/12/2025, tumeisherehekea siku ya uhuru tukiwa uani, bandani, mnyororoni na ndani. Tofauti yetu na walio Keko, Ukonga na Segerea ni ndogo: Wanakula kwa kengere, tunakula tukisikia njaa. Tutafakari: 1. Tanzania ilizaliwa 1964 kwa hiyo haikutawaliwa na mkoloni toka Ulaya. Leo tunakumbuka uhuru wa Tanganyika isiyokuwepo lakini ardhi na watu wake vipo. Kama Zanzibar wamepumzika leo, ni kwa ajili ya ujirani mwema. Siku hii kihistoria haiwahusu. 2. Watu wengi hawana shida na Tanzania. Wana shida na Tanganyika. Tanzania ni tunda la Tanganyika. Kama Tanzania ina shida, itafute kaburi la Tanganyika. Mbona tunaendaga kwenye kaburi la Baba wa Taifa? 3. Uhuru hauna hesabu: Kilo, mita, kimo, kina wala nyuzi joto. Uhuru ni utu, heshima, thamani na tunu yetu. Viongozi na watawala wetu wana ruhusa ya KUULINDA na KUUONGEZA tu. 4. Tofauti za mitazano kuhusu uhuru ndio utajiri wetu. Waasisi wetu walilenga tupate uhuru wa kujieleza, kukusanyika, kuabudu, na kujitawala. Barabara, shule, reli, ndege na Mwendokasi ni matunda ya Uhuru SI uhuru wenyewe. Tusirogwe kulinganisha vitu na uhuru wetu. 5. Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda watumishi wetu (viongozi) kuupunguza uhuru wetu kwa kisingizio chochote. Hatukuwakataa wakoloni kwa sababu ya rangi zao. Tulikataa matendo yao yaliyokuwa yanatunyima uhuru na kutufanya tukae bandani kama kuku! 6. Waasisi wa Taifa hili waliutafuta uhuru wetu bila kumwaga damu. Waliudai bila woga. Kuogopwa ni sifa na hulka ya mkoloni. Viongozi wetu waikatae sifa hii. Taifa huru ni watu huru. Tulipokataa ukoloni, tulikataa na hofu (fear) iliyoletwa na ukoloni. Hatuwezi kurejesha hofu bila kurejesha ukoloni. Uhuru na hofu ni maadui wa milele. 7. Maridhiano yanahitaji uhuru. Bila uhuru maridhiano yanatawaliwa na NDIYO kutoka upande mmoja na HAPANA upande wa pili. Mazingira haya yamezalisha kizazi cha serikali yenye ujuzi mdogo katika kukabili hoja na migogoro (critical engagement and dialogue). Tamaa ya “Ushindi” na kilevi la madaraka ni sumu ya maridhiano. 8. Kuadhimisha tukiwa tumefungiwa majumbani huku mitaa imejaa maaskari kama tuko vitani ni ushahidi wa kushindwa kukabiliana kwa hoja na makundi haya: - Wapinzani - Jumuia ya kimataifa - Wapinzani ndani ya vyama vya siasa hasa ndani ya chama tawala - Kizazi kipya ( Gen - Z) - Jumuia za kiimani - Asasi za kiraia - Majirani zetu nk Ukiangalia kiwango cha uvujishaji wa siri, kimya cha waliotazamia kusema, sauti za waliokuwa kimya na mwangwi wa kutengwa kwetu kama taifa, unaona ombwe kubwa katika weredi wa kukabili kwa hoja. Mtutu haujadili. Ukichoka kutazama mbele, unatazama nyuma. Shtuka. 9. Tabia moja ya utawala usiokuwa tayari kukabiliana (Engage) na maridhiano, ni kuchelewa kufanya maamuzi au kutegeana katika kufanya maamuzi. Matokeo yake ni kutumia suluhisho la juzi kwa tatizo la leo. Msingi wa maridhiano yoyote ni kuweka silaha chini, minyororo yote chini, malango ya magereza yawe wazi, madaraka yote yawe chini isipokuwa mamlaka. 10. Wajaluo wanafundisha kuwa “si kila Uhalali wa kisheria unaendana na kukubalika” (Legality versus Legitimacy). Tumefanya uchaguzi kisheria lakini kukubalika kwake kunahojiwa hata na waliousimamia. Uchaguzi ulikosa uaminifu na uangalifu. Serikali siyo malaika na malaika siyo serikali. Serikali, bunge na mahakama ni mali ya wananchi. Wasikilizeni. Msisikilize washauri maana wako kwenye ajira. Mkichelewa, siku isiyo leo, Mjaluo atajifunza kiingereza. “ Kristo alituweka sisi huru ili tuwe huru. Kwa hiyo simameni imara, wala msikubali tena kulemewa na minyororo ya utumwa”. WAGALATIA 5:1
5
103
362
14,889