Mitaa imeshapokea maskini wengi sana wenye majina makubwa.
Ni muda sasa wa kukata huu mnyororo wanangu.
Tuko kwenye hii golden digital era, tuna advantage kubwa ambayo generations zilizotangulia hazikua nayo.
... Social networks— rn unaweza kufanya greatness ukiwa ghetto tu.