Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!

Joined September 2013
517 Photos and videos
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
A man spends 50 years teaching at MIT. He knows his time is running out. So he records one last lecture — everything he knows, distilled into a single hour. He died 5 months later. This is that lecture. The most important hour you'll watch this week. 👇 Bookmark it for later
AI IS STILL SUFFERING FROM DIGITAL AMNESIA. It can solve Olympiad problems. Write production code. Design businesses. Then forget everything 30 seconds later. That's not intelligence. That's intelligence without continuity. Memory may become the most valuable infrastructure layer in AI over the next decade.
9
28
126
36,158
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
📌 EXCLUSIVE | "Tunafurahia Sana": Waziri wa Tanzania kukaribisha ufunguzi wa ofisi ya Sputnik barani Afrika. 🛰 "Hii itawasaidia watu kuelewa vizuri zaidi kuhusu Urusi, kushirikiana nayo kwa karibu zaidi, pamoja na kutumia teknolojia yake na uwezo mwingine mkubwa kwa ajili ya maendeleo ya Afrika," amesema Kitila Alexander Mkumbo @kitilam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, katika mazungumzo yake na Sputnik Afrika pembezoni mwa mkutano wa SPIEF 2026.
📌 EXCLUSIVE | Mfumo wa Malipo kwa Kutumia Sarafu za Kitaifa kati ya Tanzania na Urusi ni “Hatua Kubwa kuelekea Ukombozi wa Kiuchumi” kwa Afrika: Waziri "Hili litafungua lango kubwa sana kati ya nchi zetu mbili katika nyanja za utalii, biashara, na pia uwekezaji," Kitila Alexander Mkumbo @kitilam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji wa Tanzania, amesema wakati akizungumza na Sputnik Afrika pembezoni mwa SPIEF2026.
4
4
491
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Why you should speak good about yourself all times‼️
11
262
1,031
39,748
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Instead of watching 2 hours of Netflix, watch this MIT lecture by Patrick Winston. It will teach you more about communication and clarity than most people learn in years of speaking. Save this.

4
37
192
45,372
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
A masterclass on ‘how to speak’ by MIT professor Patrick Winston - 15 key lessons

3
65
248
28,898
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
🇧🇾🇹🇿#Belarus views #Tanzania as a strategic partner and a key gateway to the markets of East and Southern Africa. During Belarusian FM Maxim Ryzhenkov’s meeting with Tanzania's Minister of State in the President's office @kitilam, both sides agreed to expand the legal framework for investment protection, customs cooperation, and visa facilitation 🤝
7
19
839
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
French judge Nicolas Gouyou, who issued an arrest warrant for Netanyahu at the ICC: • Visa and Mastercard have blocked all my cards • I cannot make any purchases • I am a judge, yet treated like a criminal • Judges, lawyers, and politicians are being intimidated • A colleague told me my name won’t be removed from the blacklist until Trump’s term ends • Despite intervention by the French president, U.S. authorities have not responded
2,306
39,273
97,335
4,835,050
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
🚨 BREAKING: 🇶🇦 Qatari Minister Lolwah Al-Khater to Trump and Netanyahu: “Stop speaking on our behalf. Stop using us as an excuse for your agendas. We don’t want you to ‘liberate’ us—we just want to be left alone. Stop fueling wars. It’s not our fault you failed in school and were educated by Hollywood—the world is not a movie.”
1,633
20,371
73,785
2,994,306
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini niliyoiunda Julai 2024. Tume imewasilisha mapendekezo 284 yanayolenga kuboresha mfumo wa kodi ili uendane na mabadiliko ya kiuchumi, kiuwekezaji na kibiashara duniani. Maboresho ndiyo maendeleo. Kwa muktadha huo, tumechukua hatua hii kwa malengo makuu mawili; kwanza, kupanua wigo wa walipakodi, ili kila mwananchi ashiriki kujenga uchumi wa nchi yetu, na pili, kutambua kuwa mfumo bora wa kodi ni muhimu katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, sawa na malengo ya Dira 2050. Ninawashukuru wananchi wote kwa kutoa maoni kwani mmeshiriki kuamua hatma ya leo na kesho yetu na Taifa letu. Aidha, katika utekelezaji wa mapendekezo hayo, tutashirikiana kikamilifu na sekta binafsi, wananchi na wadau wengine ili tufanikishe lengo la ukusanyaji rasilimali zinazohitajika kwa ustawi wa watu na maendeleo ya nchi yetu.
56
74
284
22,097
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
National President @AhmadiyyaUK Rafiq Ahmed Hayat and members of the Ahmadiyya Muslim Community hosted Hon. Kitila Mkumbo (@kitilam), Minister of State, and H.E. Mbelwa Kairuki (@MbelwaK) to the Baitul Futuh Mosque this Sunday. It was an honour to host the delegation and further strengthen the longstanding ties of friendship and mutual respect between the Ahmadiyya Muslim Community and Tanzania.
1
21
77
2,182
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
As we reflect on last week’s King’s Birthday Party, we want to extend a heartfelt thank you to all our generous sponsors & incredible vendors, both old & new, for making the evening truly special. The night wouldn’t have been the same without your support & hard work!
1
3
6
2,927
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Katikati ya upendeleo na mambo mengine yasiyoeleweka humu duniani, bado watu wenye uwezo, sifa stahiki na bidii wana nafasi ya kutoboa. Usichoke kujijengea uwezo na kuzitafuta sifa sahihi.
3
5
18
4,510
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
4 Jun 2025
📍Dodoma ▪️WAZIRI PROF. MKUMBO AKUTANA NA MKURUGENZI WA GATSBY, WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Juni 3, 2025, alikutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Gatsby, Bw. Justin Highstead, jijini Dodoma. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna ya kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo, likiwemo Shirika la Gatsby. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Prof. Mkumbo alipongeza mchango wa Shirika la Gatsby katika kusukuma ajenda za maendeleo nchini, hususani katika maboresho yanayoendelea kwenye sekta mbalimbali. Kwa upande wake, Bw. Highstead alieleza kuwa shirika lake litaendelea kushirikiana na Serikali kwa kutoa mchango wake katika kujenga uwezo na kushirikiana katika kutekeleza baadhi ya mikakati ya maendeleo. 📸:Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
2
9
2,001
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dodoma, Mei 30, 2025 Siku ya pili ya mkutano wetu jijini Dodoma ambapo kwa pamoja tumezindua Ilani ya CCM 2025-2030. Ilani hii imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa manufaa ya Taifa letu, ikilenga zaidi katika kuchochea mapinduzi ya kiuchumi, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya wananchi. Vipaumbele vingine ni kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji, kukuza matumizi ya sayansi na teknolojia, kudumisha amani, utulivu na usalama, kudumisha utamaduni, na kukuza sanaa na michezo na kuongeza kasi ya maendeleo vijijini. Aidha, tukielekea kwenye uchaguzi mkuu, nimezielekeza kamati za kuteua wagombea kutenda haki ili tupate viongozi watakaotekeleza ilani kikamilifu. Pia, nimewaasa wanachama wa CCM kuimarisha umoja na mshikamano, tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja, ili chama chetu kipate ushindi mkubwa na turudi kuendeleza kazi ya kuwatumikia wananchi wote.
220
125
433
69,985
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Gratulerer med dagen! 🇳🇴 Thank you to our Tanzanian partners and Hon. Dr. Kitila Mkumbo for joining our May 17 reception in Dar. As we mark Norway’s Constitution Day, we celebrate strong, growing ties with Tanzania—founded on partnership, peace, and shared values. #17mai 🇳🇴🤝🇹🇿
2
3
13
1,919
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Investing in colleges empowers our youth. Investing in energy powers our industries. If we’re serious about economic growth, both are non-negotiable. #FRS2025 #IWTz2025 @kitilam @VodacomTanzania @IWTZ_ @Funguo_Tz
3
6
1,127
Participating @ArushaEconomicForum# moderated by @KoinangeJeff and Richard Mgamba. As usual, Mesmerizing view points from PLO Lumumba!
11
2
26
3,851
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
111
30
238
39,894
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
30 Apr 2025
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Profesa Matha Qorro, mmoja wa wanachama waanzilishi wa shirika letu. Profesa Qorro alikuwa mwanazuoni mashuhuri na mwenye mchango mkubwa katika sekta ya elimu nchini. Atakumbukwa daima kwa ujasiri, msimamo thabiti, na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza matumizi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia na kujifunzia katika mfumo wa elimu Tanzania. Kupitia tafiti, mijadala na harakati zake, Profesa Qorro aliweka alama isiyofutika katika ajenda ya mageuzi ya elimu, akiamini kuwa lugha mama ni nyenzo muhimu ya kuwezesha wanafunzi kuelewa na kufaulu. Tunatoa pole kwa familia yake, ndugu, marafiki na wote walioguswa na msiba huu. @HakiElimu itadumisha urithi wake kwa kuendeleza juhudi za kuhakikisha elimu bora na jumuishi kwa watoto wote. Pumzika kwa amani Profesa Matha Qorro. Umeacha alama isiyofutika.
9
12
29
6,586
Kitila Mkumbo (PhD) retweeted
Hotuba yangu kwa Taifa hii leo kuelekea Miaka 61 ya Muungano.
737
458
1,580
258,418