Ramadhan ni moja kati ya Nguzo Kuu za Uislam. Anayekana wajibu wa Saumu basi amekuwa murtadi.
Mwenyezi Mungu (s.w.t) ameifaradhisha Saumu.
hekima ya saumu:
kuweza kuthibiti nafsi,
kuacha matamanio ya haramu na
kuwa na subira
Nawatakia ndugu zangu Waislam wote mfungo mwema
Nafikiri ni jambo zuri watoto wakahudhuria kampeni. Hawapigi kura lakini kampeni zinawajengea uwezo wa kuona na kuelewa mambo. Baadae wataweza kupambanua na kujua nani anaongea upuuzi na nani ana mantiki. Au namna gani my friend!? Si ndio hivyo?
I have learned with profound sadness the death of our beloved 3rd President of Tanzania, Benjamin William Mkapa. He was the great leader who through his famous slogan of “Uwazi na Ukweli” means truth and transparency, steered this country to another level. May He Rest in Peace.
Hivi Tanzania tunafanya nini kumuenzi Daniel Arap Moi? Nani asiyejua kama Mzee Moi, Rais Mkapa na M7 ndio walioifufua Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sasa kama Jumanne ni public holiday huko Kenya kwanini Tanzania isiwe public holiday. Huyu ni Mwanzilishi wa Jumuiya yetu. Tumuenzi!
Nimejaribu kuwaza tu, Mara paaaap magoli ya @Samagoal77_ yanaipa ushindi Aston Villa na yanaitoa Aston Villa from the relegation zone. Kila la heri @Samagoal77_@2chainz