Viwanja vya ndege, vituo vya treni na mabasi, shule, hospitali nk, afadhali tungeviita kwa kutumia majina ya wanyama, hifadhi/rasilimali tulizonazo hapa nchini. Kuliko majina ya African corrupt leaders!
Nampongeza aliyetoa jina la TANZANITE BRIDGE 🫡
SIR GE0RGE KAHAMA INTERNATIONAL AIRPORT. MSALATO. DODOMA. Pongezi kwa kazi nzito ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa Dodoma ifikapo Septemba. Pendekezo langu ni jina la kumuenzi Mkurugenzi Mtendaji wa kwanza wa CDA, SIr George. Dodoma iliyopangwa ni yake. Mwanaushirika, Mpigania uhuru. Mmojawapo wa mawaziri katika 1st Cabinet. Rafiki wa karibu wa Mwalimu. Naomba kuwasilisha.