Uchovu wa ahadi zisizotekelezwa?
Sisi hatuuzi maneno.
Tunatoa matokeo.
Website. App. Digital assets.
Zimejengwa kwa mkakati, si bahati.
π² Book now
255 747 985 778
π§ info@makeleletech.com
π makeleletech.com
Lengo halijabadilika ifikapo 2030 tunasimamisha Home Library ya nguvu. ποΈ
Kama unatafuta vitabu original na kwa bei nafuu, fanya kazi na @LeanersBookshop .
Leo nimepokea vitabu vyangu, 5 in the shelf again.
Looking For Talented, Mobile App Developers, there is a deal. πΌ
DM if Interested π
Note: Do not send your CV, I am not interested in knowing you yet....
Send your work or portfolio of works...
I am interested in what you can do.
Kujifunza Cybersecurity mtandaoni kuna changamoto moja kubwa: "Information Overload". Unaishia kupotea kwenye maelfu ya links za Google na YouTube hadi unakata tamaa.
Lakini sasa kuna suluhisho la bure na Open-Source lililotengenezwa na mshkaji wangu: Naanzaje π»π₯
Hii platform inafanya nini? Inakupa Roadmap ya hatua kwa hatua. Inakusanya free courses & vitabu bora sehemu moja. Hakuna malipo wala subscriptions.
Iwe wewe ni beginner au una basics, hii ndio starting point yako. Unataka link yake?
Comment "NAANZAJE" nikutumie DM.
Mnapangia office protocol π,
Kama vipi jiajiri tu haya maswala ya kazi mnayachukulia personal hasa pale kete zikienda tofauti na sisi. Ongeza skill ya ushawishi mkuu.
Naipenda X sababu imekuza jina la HabariTech na hakuna sababu nyingine.
Ila sasa hivi napost zaidi TikTok na Whatsapp kwa sababu zifuatazo.
-X iko overrated sana, ila haina maajabu kwangu.
-Sijawahi kupata paying client toka X π€£. Sidhani kama nimewahi pata mtu anayelipa hata buku huku.
-VPN. Hii kitu naichukia sana.
HabariDuka imeuza sana kupitia Whatsapp.
AkibaPlus imepata watumiaji wengi kutoka TikTok.
X π€ huku banter kama kuambiwa hapa story tu kula kwenu.
Kitu X imenipa ni mafunzo. Kuna talent sana huku watu wanaojua katika kila niche. Ndicho kikubwa huwa napata hapa X.
Shout-out ya nguvu kwa @GoodluckMalekoJ na @gabyconscious kwa kudondosha 80% ya accessories zote unazoziona hapo. Unahitaji mzigo kama huu? Wasiliana nao. Na kwa mambo yote ya vitabu, address ni moja tu: @Vitabu247.
Shout-out ya nguvu kwa @GoodluckMalekoJ na @gabyconscious kwa kudondosha 80% ya accessories zote unazoziona hapo. Unahitaji mzigo kama huu? Wasiliana nao. Na kwa mambo yote ya vitabu, address ni moja tu: @Vitabu247.
Vikwazo vingi unavyoviona ni zao la mawazo yako, si uhalisia. Muda wa kuacha visingizio na kuwajibika umefika. Punguza maneno, ongeza hatua. Kumbuka: Kwenye kujaribu, hakuna kupoteza kama si matokeo, basi ni uzoefu.
Miongoni mwa hekima toka kwa @masoudkipanya ni hili: Hakuna ubunifu unaoleta kitu kipya kabisa duniani, bali ubunifu wote ni uboreshaji au uvumbuzi wa vitu vilivyopo. Kimsingi, hakuna kitu kinachovuka mipaka ya uhalisia wetu. Kila kitu kipo hapa hapa, inategemea tu unakitazamaje.
Wakati mwingine mapambano yanakufanya uwe "blind" kuona mabadiliko yako mwenyewe. Unashtuka tu ukikutana na watu wa zamani, jinsi wanavyokusoma na kuona mafanikio ambayo wewe uliyaona ya kawaida. Ukifika hapo, amini umesha-level up na miduara imeshajichuja.
π―π―
Kwenye struggle,
Unaweza hustle kiasi ukashindwa notice how far umeenda, kiasi ukikutana na watu walio wahi kukufahamu, wakaanza kukuonesha vitu ambavyo hukuwahi notice, siku ukikutana nao jua tu sio wenzako tena. #YuleYule moja ya track pendwa kutoka kwa #DZVN.