Kuna jamaa kawa tag "tanpol" kwenye ile post ya chuga king aliyoposti Mirungi🙌
Umu watu mnautani wa ajabu Kuna siku mtu atakuja kula namba kimasiara 🙌😄
Julio anakwambia Mudathiri ni mchezaji mjanja mjanja 😀
Ila ni kweli haka kajamaa huwa kanajipostion kwenye maeneo ambayo mipira inafika kirahisi kisha kanascore na vile vile kana perfect timing