Welcome to the Official Twitter page for Plus Television, also find us on Instagram @plustvtz and Facebook @plustvtz

Joined March 2017
16,608 Photos and videos
15 Feb 2024
Mchezaji wa klabu ya PSG, Kylian Mbappe (25) raia wa Ufaransa, ameamua kumjulisha Rais wa klabu hio, Nasser Al Khelaifi kwamba ataondoka kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu. Bado kukamilisha baadhi ya makubaliano ya kimkataba, lakini wame afikiana mchezaji huyo ataachana
1
8
412
15 Feb 2024
na klabu hio baada ya kukamilisha vipengele vyote vya kimkataba. #PlusXtraUpdates
168
6 Feb 2024
Kwa mujibu wa Mwanahabari, Fabrizio Romano ni kuwa, mazungumzo ya usajili kati ya klabu ya Real Madrid na mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappé yamefikia hatua nzuri licha ya kuwa, hadi sasa hakuna makubaliano yaliosainiwa kwa pande zote mbili. Taarifa rasmi kuhusu hatma ya nyota
1
4
296
6 Feb 2024
huyo wa Ufaransa inatarajiwa kutolewa hivi karibuni na kambi yake ingawa mpaka sasa klabu yake ya PSG haijapokea taarifa yeyote juu yake kama atasalia klabuni hapo au atatimka. Mkataba wa Mbappe na PSG unatamatika mwishoni mwa msimu huu na kumfanya nyota huyo kuwa mchezaji huru.
1
143
5 Feb 2024
Yanga yapata ushindi wa goli moja dakika za mwisho dhidi ya Dodoma Jiji, Chamazi Complex FT: YANGA 1⃣ - 0⃣ DODOMA JIJI #PlusXtraUpdates
1
3
174
3 Feb 2024
Aliyekuwa muigizaji na mtayarishaji wa filamu Carl Weathers maarufu kama 'Apollo' kwenye sinema ya The Rocky iliyoigizwa na Sylvester Stallone 'Rambo' amekutwa na familia yake amefariki dunia Februari, 01 akiwa amelala. “Carl Weathers heshima yake itabaki kama mkongwe kwenye
1
2
116
3 Feb 2024
tasnia ya filamu, mwanariadha mahiri, muigizaji na mtu mwema sana kuwahi kumfahamu” “Tusingeweza kukamilisha filamu ya 'Predator' bila ya umahiri wake na muda mzuri wakati wote wa kazi ya utengenezaji wa filamu hio” amesema Arnold Schwarzenegger R.I.P Legend🕊 #PlusXtraUpdates
60
3 Feb 2024
Kinda anayecheza nafasi ya kiungo Lucas Begvall raia wa Sweden (18), rasmi amemwaga wino kwenye klabu ya Tottenham akitokea klabu ya Djurgarden, Sweden. Katika siku yake ya kuzaliwa Februari, 02, rasmi amefanya maamuzi ya kujiunga na waajiri wake hao wapya ambao ataanza kufanya
1
252
3 Feb 2024
nao kazi mwishoni mwa msimu huu. Kinda huyo ameigomea ofa ya muda mrefu kutoka kwenye klabu ya Barcelona nchini Uhispania na kuamka kutimkia Uingereza. Je, amefanya maamuzi sahihi? #PlusXtraUpdates
47
2 Feb 2024
Timu ya taifa ya Congo yatinga nusu fainali kwa kishindo: FT: DR Congo 3⃣ - 1⃣ Guinea #PlusXtraUpdates
1
79
2 Feb 2024
Kikosi cha timu ya Nigeria kimeruhusu goli moja tu katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Ivory Coast: ◾1-1 vs Equatorial Guinea ◾1-0 vs Ivory Coast ◾1-0 vs Guinea Bissau ◾2-0 vs Cameroon ◾1-0 vs Angola
1
1
130
2 Feb 2024
Kikosi hiko cha Nigeria kimefuzu kwenda nusu fainali. #PlusXtraUpdates
32
2 Feb 2024
Yanga na Kagera Sugar wagawana pointi baada ya kusuluhu katika uwanja wa Kaitaba. FT: Yanga 0⃣ - 0⃣ Kagera Sugar #PlusXtraUpdates
2
50
2 Feb 2024
Beki wa kulia kwenye klabu ya Nottingham Forest, Serge Aurier (31) raia wa Ivory Coast yuko mbioni kujiunga na klabu ya Galatasaray S.K ya Uturuki. Dili ambalo limekuwa katika mazungumzo kwa muda mrefu baada ya kuwa mvutano kwa pande mbili hizo, ila mchezaji Aurier ameonyesha
1
3
255
2 Feb 2024
nia ya kujiunga na kikosi hiko cha Galatasaray S.K. #PlusXtraUpdates
52
2 Feb 2024
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa, Bertrand Traore (28) raia wa Burkina Faso amevunja mkataba na waajiri wake hao na kutimkia Uhispania kwenye klabu ya Villarreal akiwa kama mchezaji huru. #PlusXtraUpdates
65
2 Feb 2024
TAARIFA KWA UMMA. #PlusXtraUpdates
43
2 Feb 2024
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Armando Broja (22) raia wa Albania ametua kwenye klabu ya Fulham ya Uingereza kwa mkopo. Kinda huyo atakipiga katika klabu ya Fulham mpaka mwishoni mwa msimu huu 2023/24. #PlusXtraUpdates
1
51
1 Feb 2024
Rapa wa kisasa Young Lunya a.k.a Mbuzi, ametuma salam ya freestyle kwenye ngoma ya Diamond Platnumz 'Mapozi' aliyomshirikisha Mr. Blue & Jay Melody Je, unampa maksi ngapi? #PlusXtraUpdates
1
133