Kati ya magari haya manne.
1. Alphard,
2. Harrier,
3. Vanguard,
4. na RAV4 yote yakiwa na engine sawa ya 2AZ (2360cc), unadhani lipi lina mwendo wa kasi zaidi kuliko mengine?
#NB: Usidanganywe na muonekano π
Weka jibu lako tuone kama unayajua magari