Specialized clinic and diagnostic center based on providing a diagnostic help using modern machines and well trained personnel

Joined June 2021
35 Photos and videos
Reenbook Polyclinic & Diagnostic Lab
2
6
Happy Independence Day πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #Tanzania #IndependenceDay
27
Ifahamu Homa ya Manjano
2
22
Today marks the World Aids Day. We all need to stay close with people living with Aids, caring them and giving them love.
15
Kutana na Daktari Bingwa wa Meno. Jumatatu mpaka Jumamosi saa 8:00 am - 09:00pm Kliniki yetu ipo Mikocheni Nyuma ya Shoppers Plaza Unaweza tupigie simu kuweka Miadi 0759 811 111 #dental #yanga #reenbook #health #simba #daressalaam
1
40
Karibu uonane na daktari wetu wa Mifupa. Tunapatikana Mikocheni Nyuma ya Shoppers Plaza Wasiliana nasi 0759 811 111
17
Kama unasumbuliwa na matatizo ya Meno fika katika kituo chetu mapema. Huduma tunazotoa: πŸ‘‰ Tunaziba Meno yaliyotoboka πŸ‘‰ Tunasafisha Meno πŸ‘‰ Tunang'oa Meno πŸ‘‰ Kupanga Meno katika mpangilio Mzuri πŸ‘‰ Matibabu ya Mizizi ya Meno πŸ‘‰ Huduma ya Meno Kwa watoto ☎️ Tupigie 0759 811 111
33
Kama unahitaji sehemu ya uhakika ya kufuta tattoo, Reenbook Skin Care & Beauty Clinic ndio Sehemu sahihi. Fika katika Clinic yetu ya Ngozi upatiwe huduma Bora na za uhakika. Tunapatikana Mikocheni Nyuma ya Shoppers Plaza Parking Area. Kwa mawasiliano tupigie 0759 811 111
68
Huduma ya Baba, Mama na Mtoto inapatikana kuanzia saa 08:00 Asubuhi hadi saa 09:00 usiku. Jumatatu Hadi Jumamosi. Chanjo Kwa watoto zinatolewa siku ya Jumanne na Ijumaa. kuanzia saa 08:00 Asubuhi hadi saa 14:00 mchana Mawasiliano: 0759 811 111 Huduma ni HARAKA na UHAKIKA.
19
You are welcome to get the best service from our Gynecologist. Make an appointment via 0759 811 111 We are located Mikocheni, behind Shoppers Plaza parking Area. #simba #yanga #reenbookpolyclinic #afya #uzazi #uzaziwampango #women #health #gynecology
15
Fika Katika ofisi zetu zilizopo mikocheni nyuma ya parking Area ya Shoppers Plaza au wasiliana nasi kupitia 0759 811 111 #SIMBA #Yanga #Medical #afya #reenbook
12
Tunatumia vifaa Bora vinavyoendana na Teknolojia ya kisasa katika kuhakikisha unapata matokeo chanya na kupendeza zaidi. Kutana na MTAALAMU wetu wa Ngozi. Tunapatikana MIKOCHENI, Nyuma ya Shoppers Plaza Parking Area. Au wasiliana nasi: 0759 811 111
12
Tunatoa Huduma bora za Uuguzi nyumbani. Huhitaji kukabili msongamano wa magari ili kumpeleka mgonjwa hospitalini. We provide the best Nursing Services at home. You don't need to facing the traffic jam to get your patient to the hospital. #Afya #nursing #homenursing #reenbook
7
Kutana na wataalamu wetu waliobobea. Tunapatikana Mikocheni Nyuma ya Parking Area ya Shoppers Plaza. ☎ Kwa mawasiliano zaidi Tupigie: 0759 811 111 . . #simba #simbasc #simbaraha #yanga #yangasc #Afya #afya #afyayako #tibiwanasisi #wenyenchi #WenyeNchi #wananchi #tanzania
13
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake Siku: Jumatatu na Alhamisi saa 9:00 Mchana hadi saa 3:00 Usiku, Jumamosi saa 3:00 Asubuhi hadi saa 9:00 Mchana. Huduma: 1. Uzazi wa Mpango 2. Ujauzito Hatarishi 3. Matatizo Yatokanayo na Ukomo wa Hedhi n.k ☎ Tupigie: 0759 811 111
9
Karibu ReenBook Polyclinic Pharmacy. Tupo wazi kuanzia saa 2 asubuhi Mpaka saa 4 usiku. Karibuni sana. Tupo Nyuma ya Parking Area ya Shoppers Plaza Mikocheni. #simba #AfyaYetuJukumuLetu #Tanzania #Wananchi
14
Reenbook skin and beauty clinic tunatoa huduma mbali mbali za ngozi kutoka kwa mtaalamu wa ngozi. Karibu sana kwa huduma nzuri zikupatie muonekano mzuri. Kwa taarifa zaidi na kuweka miadi piga 0759 811 111 #tibiwanasisi #reenbookpolyclinic #reenbook
2
25
Reenbook skin and beauty clinic tunatoa huduma mbali mbali za ngozi kutoka kwa mtaalamu wa ngozi. Mwezi huu (march) kutakua na punguzo la matibabu ya ngozi kwa asilimia 30. Karibu sana kwa huduma nzuri zikupatie muonekano mzuri.
1
34
Reenbook Polyclinic and Diagnostic Lab retweeted
Replying to @Laura_FAURE_LTD
1
5
We Offer Home based Care Services and Make Life Easy For You. For More Information Call 0759 811 111 #reenbook #reenbookpolyclinic #afya #homecare #homecarenurse @ Reenbook Polyclinic and Diagnostic Lab instagram.com/p/ChR1xA_qDFZ/…