@ringunger "I got passion for the thing ila natingwa na time kuna wajinga wanapinga kwamba Ringle ana rhyme,
Si kwamba naifanya game,
Ka inanipa maslahi hii kitu haijanilipa ila kibingwa na sign"
👊
#HipHopFamily kufa au kupona 🎶 verse ya kwanza kasimama @ringunger
Unampa asilimia ngapi?
Rap music imechangamka kamaitaenda mwaka mzima itakuwa poa sana.
#TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️
Nawalilia waliopoteza ndugu na jamaa. Nawatakia nguvu na ujasiri wa kuendelea na maisha. Kama kuna kitu tumejifunza ni kuwa, mabadiliko ni gharama. Walale pema waliotutangulia. May their courage never go unnoticed.
Forever in our hearts 🇹🇿 🇹🇿
Asanteni sana wanafamilia wote mlionipambania kwa namna mbalimbali katika mchakato mzima wa tuzo za TMA (2024).
- Special thanks to JayCob Mahuwi and @dizastavina
I really appreciate it, and may God bless y'all.
#TMA2024#BestHipHopProducer
Hii ngoma utakutana nayo kwenye album ya #HAKUNAMATAATAA, na unatumiwa album WhatsApp, email,telegram etc(utachagua) bei ya album ni tsh 10,000/= tu,namba ya kupata album 0656337757.
#SamakiMwenyeKiuNdaniYaMaji