Joined April 2018
14 Photos and videos
damiano kasunga retweeted
Any man who gets married is a gambler, you're literally betting your whole life and money on a person who can simply wake up and say they're DONE and take away half of your money.
40
161
721
14,690
damiano kasunga retweeted
Bro to Bro: 1. Ukitaka kuishi kwa amani kwenye ndoa hakikisha una kazi au mishe ya kukuingizia pesa kabla ndio unaoa. 2. Usitegemee unavyowasaidia washkaji zako kwa hali na mali kwamba siku na wewe ukipata shida lazima wakusaidie utaumia sana ikae kichwani. 3. Usishikishwe akili na watu tumia akili yako kuchanganua mambo kabla ya kuchukua hatua. 4. Usiwe mchawi kwenye maisha ya watu haipendezi ukiona washkajinwamekupita its okey kuona wivu na kuumia sisi ni binadamu ila akili ni yako kuamua kupambana na wewe kufikia pale au kutulia na mishe zako lakini si kuanza kutafuta maneno watu. 5. Tafuta mwanamke wako mmoja mpende sana wala usijikaze uonekane bandidu ndio akuogope ...u deserve kupenda mali yako surely upendo utarudi na heshima juu. 6. Kama unatoka kwenye familia za kimaskini hakikisha unawaekea mazingira mazuri ya kuishi wazazi wako Mungu amekubariki ili uje kuwainua wengine. 7. Hata maisha yawe magumu vipi hata upate aibu vipi usiwaze kujitoa uhai hakuna magumu yasio na mwisho kila binadamu ana historia yake si nzuri lakini amechagua kuishi na kusonga mbele kufanya yalio bora zaidi. 8. Stress za maisha zisikufanye ujiingize kwenye ulevi, umalaya, ushirikina, matumizi ya madawa, kutukana watu na kupiga au kuua... kaa mbali na mitandao jitibu afya yako ya akili uwe salama. 9. Usijiingize kwenye migogoro ya urithi au ardhi… ni haki yako kupigania haki yako lakini unapoona mambo magumu unaweza kukaa pembeni wafaidi wao ukafanya maisha yako. 10. Ukipatwa na wakati mgumu ongea na Mungu tafuta mahali palipotulia ongea na Mungu mueleze kila shaka unalopitia huwezi bila msaada wake akufungulie njia akusaidie usiumbuke na uwe na imani atatenda. Chukua hii...👇
8
20
100
6,006
damiano kasunga retweeted
Uwekezaji na Biashara 15 za siri unazoweza kufanya na kutengeneza faida kubwa Pasipo muajiri na watu wa karibu kujua... Kama uko kwenye ajira isiyoruhusu biashara... ..... Unajua watu wa namna hii mara nyingi wanaangaika kuwa na vyanzo vingi vya kipato lakini hawajui nini wafanye.....
4
19
112
16,169
Travelling keeps you inspired. A change of environment is very good for the soul.
1
5
damiano kasunga retweeted
29 Oct 2025
🚨MUHIMU SANA‼️ WOTE WANAOPIGWA RISASI AU KUUMIA WAPELEKWE HOSPITAL YA JESHI LUGALO. Naomba 200 Repost kwa hili kila mtu aone na ajue.
12
688
1,655
57,407
Harsh Truth: People won’t respect you at the bottom, they’ll ignore you in the middle, and they’ll hate you at the top. You’ll never get everyone’s approval. So just do you.
8
In order to be successful , you have to make sure that being rejected doesn't bother you at all.
3
When you can't be controlled, you will be hated. And that's power
5
damiano kasunga retweeted
Instead of binging Netflix for 1 hour tonight... Spend that hour on Craigslist looking at empty rental properties. (You can get paid to list them on Airbnb) Do this for 30 nights & you could land your first deal making $2,000 per month. Here's the exact process:
11
51
313
147,513
damiano kasunga retweeted
14 Jul 2025
Hit me with the harshest reality truth.
1,054
654
7,023
844,115
damiano kasunga retweeted
Wazazi wetu walituambia tumalize kazi ndo tukacheze. Walikuwa wanamaanisha starehe ni matokeo ya kuwajibika kwanza. Wazazi wetu walipotuambia fungeni midomo msiongee wakati wa kula.. Walikuwa wanamaanisha msijielezee sana, kwenye mnachokifanya kwa ubora.. Wazazi wetu walipotupiga, kwa kula ovyo kwa majirani.. Walikuwa wanatuambia tukikua, tuelewe sahani ya bure, huwa ina gharama ya uhai.. Wazazi wetu walipotuchapa kwa kudondosha punje za wali. Walitufundisha nidhamu ya kidogo tunachokipata. Wazazi wetu walipotunyima hela waliyoimudu. Walitufundisha msaada si haki yetu, tusilaumu asiyetupa. Wazazi wetu walipotukataza tusitukane, walitaka tusinyimwe kazi, kwa madhaifu ya vinywa vyetu.. Wazazi wetu walipotufundisha kusalimia wakubwa kwa wadogo.. Walitupa somo la tuheshimu watu, maana msaada wa uliemdharau, unaweza kufika haraka kuliko wa uliemtarajia..✍️ Kijiweni leo na @AziziKasese chini ya udhamini wa @SadickTusia
5
34
116
3,364
damiano kasunga retweeted
Hii inashangaza sana kuhusu TOYOTA CROWN ATHLETE aka 🍍 Crown Athlete licha ya kua haina ulaji mzuri wa mafuta lakini bado inapendwa na vijana na ni moja kati ya magari ambayo yamenunuliwa kwa wingi 2024/25!! Nitakwambia kwanini!!? Stay with me Moreno 👇🏽😎 Retweet 🧵
14
40
608
149,455
damiano kasunga retweeted
🍿TOP 20 HIP HOP MOVIES KALI BALAA 👇🏽 🧵Thread 1.GET RICH OR DIE TRYING~ 50 CENT
21
85
508
77,960
damiano kasunga retweeted
Man to Man….............Watu wengi hawatakwambia hili kwa sababu wanaogopa kuonekana “unprofessional” Lakini mimi navunja sheria, na leo nakwambia ukweli mchungu — sikiliza kaka: THREAD: 👇
59
68
632
91,298
damiano kasunga retweeted
Kuna aina tatu za marafiki: Wapo wanaokusema vibaya ukiwa haupo, wapo wanaokaa kimya wengine wanapokuchafua, na wapo wanaosimama kulinda heshima yako hata bila uwepo wako. Hao wa mwisho ndio marafiki wa kweli — wa kuenzi. #JummahKareem // There are three kinds of friends: Those who speak ill of you when you’re not around, those who stay silent as others tarnish your name, and those who stand up to protect your honour in your absence. The last ones are true friends — the ones worth keeping. #JummahMubarak
52
69
765
25,213
damiano kasunga retweeted
Kıjana mwenzangu; 1. Usipoteze Furaha kisa Mpenzi 2. Usipoteze Amani kisa Mpenzi 3. Usipoteze Malengo kisa Mpenzi 4. Usipoteze Ndoto zako kisa Mpenzi 5. Usipoteze Familia yako kisa Mpenzi 6. Usipoteze Heshima yako kisa Mpenzi
80
133
1,075
53,550
Ukiwa na Android/Google Tv. You install CRICFy TV, SmartTube, and Onstream then invest in a good and reliable internet and you will live happily. Goated apps
161
1,863
8,833
590,987
damiano kasunga retweeted
The Bible is the most important book of all time.
147
1,118
11,728
153,882
damiano kasunga retweeted
Unafanya Biashara haikui, mzigo unaisha, pesa haionekani japo unauza, Madeni yanaongezeka na biashara inakua mzigo? . Tumia hizi Mbinu za kudhibiti fedha zako zisipotee kwenye Biashara yako la sivyo utaishia kupoteza muda na kujiuliza wenzako wanafanikiwaje
4
53
216
21,586
damiano kasunga retweeted
UNAPANGA KWENDA CHINA MWAKA huu 2025? . Usije ukapoteza muda wako huko kutafuta masoko na mwisho ukanunua Bidhaa kwa madalali... . China sio kama karikoo ambayo maduka ya kila kitu yako sehemu moja.. . Save haya maeneo na ukienda china itakusaidia sana. Usije kufanya kama sisi ambao safari ya kwanza na ya pili tuliishia kununua bidhaa kwa maduka ya pale Ghuanzou na kwa madalali... . 📱Electronics : 📍Guangdong (Shenzhen), Zhejiang (Hangzhou), Jiangsu (Suzhou)🔧 .. Machinery : 📍Jiangsu (Wuxi), Zhejiang (Wenzhou), Shandong (Qingdao) .. 🚗Automobiles & Parts: 📍Jiangsu (Nanjing), Shanghai, Guangdong (Guangzhou), Jilin (Changchun) .. 👗Apparel & Textiles: 📍Guangdong (Guangzhou, Dongguan), Zhejiang (Hangzhou), Fujian (Fuzhou) ... 🛋Furniture: 📍Guangdong (Foshan aisee hii sehemu hata kama hufanyi biashara ya furniture ufike tu uchukue vitu hapo), Zhejiang (Wenzhou), Fujian (Jinjiang) ... 🧴Plastic Products: 📍Guangdong (Dongguan), Zhejiang (Yiwu) .. 🛠Steel & Metals: 📍Hebei (Tangshan), Jiangsu (Lianyungang), Shandong (Qingdao) ... 🧪Chemicals: 📍 Jiangsu (Lianyungang, Nanjing), Shandong (Qingdao), Zhejiang (Ningbo) ... 🧸Toys & Sports Equipment : 📍Guangdong (Shantou, Dongguan), Zhejiang (Yiwu), Shandong (Linyi) ... 💡Lighting : 📍Guangdong (Zhongshan), Zhejiang (Wenzhou, Yiwu) .... 🍲Food & Beverages : 📍Guangdong (Guangzhou), Fujian (Fuzhou), Shandong (Qingdao) .... 💎Jewelry & Precious Metals: 📍Guangdong (Shenzhen), Zhejiang (Jinhua), Jiangsu (Suzhou)... mnaotaka kuuza Dhahabu na madini pia huku tembeleeeni kuna masoko ... 🔬Optical & Medical Instruments: 📍Jiangsu (Wuxi, Yangzhou), Zhejiang (Hangzhou), Guangdong (Shenzhen) .... . 🏠Home Appliances : 📍Guangdong (Shunde, Foshan), Zhejiang (Ningbo), Jiangsu (Suzhou) ... 🏺Ceramics & Glass : 📍Guangdong (Foshan), Jiangxi (Jingdezhen), Fujian .. Huwezi ipuuzia China kwa sasa kwenye ulimwengu wa Biashara, Marekani mwenyewe kichwa kinamuuma...
49
216
528
60,586