Just Vibes | Reposts ≠ Endorsement

Joined April 2026
175 Photos and videos
Pinned Tweet
My first Post on X, cheers to the new beginnings🎉
3
3
20
1,919
Nataka Nilipe hii 1M nisidaiwe, niiwasilishe wapi?
Good morning wadaiwa
1
1
17
PABLO ZUNGU retweeted
Messi Kaanza Kibabe sana🐐
1
10
Umesoma kipeperushi chote?
Waondoke Afrika. Washiriki Euro au copa america
6
Soshomidia Valideshen?
Leo tarehe 16 Juni 2026 nipo safarini BRUSSELS, UBELGIJI.
53
Siku hizi Nikinywa Pombe Kidogo tu Mwili wote unauma😡
8
Hata Rent Hawawezi Kulipa Kwenye Hilo Eneo ila Wamekomaa Kumfukuza Mtu Anaeishi Hapo Kwa Vibali Halali na Katengeneza Ajira kwa Wazawa😵‍💫
“I created opportunity for more than 30 South Africans since I started running this shop. I have all the legal documents, and I will not leave until a directive from the government” – Man laments
134
PABLO ZUNGU retweeted
Kuna siku nilienda hospital kupima ngoma, nikafanyiwa consultation na mhudumu Mwanamke, baada ya kunipa majibu nikamsimulia kilichochonifanya niende kupima, We laughed about it. One of the best interaction nimewahi kuwa nayo na Mhudumu Mwanamke🩷
Ukienda hospital Kupata matibabu/huduma unakuwa comfortable zaidi na daktari mwanaume au mwanamke?
3
3
86
This📌
Replying to @MsBrown_Tz
8 out of 10 times mwanamke akikwambia we need to talk basi ujue the talk is not positive, it's either ni kesi au kuna jambo ambalo litagharimu tu amani yako kama mwanaume, most women have nothing positive when they tell a man "we need to talk" ndio maana lazima tujihami mapema.
2
16
PABLO ZUNGU retweeted
Verde Kuna Totoz Bana🧅

5
11
48
2,774
PABLO ZUNGU retweeted
Kama Mwanaume Hakuvutii Kimapenzi Usiende Nae Date, Simple as that. Ila Baadhi Yenu Kwa Sababu Ya NJAA Zenu Huwa Mnacheza Hii Michezo Ya Kupotezea Watu Muda na PESA zao. Unajua Kabisa Humpendi na Hakuvutii ila Kwa Sababu Kaonesha Nia na Ana PESA, basi Unafikiri YEYE...(1/2)
WANAUME ACHENI HIZI TABIA MARA MOJA😡‼️⚠️🚮 Nilikutana na huyu baba ni mtu mzima nadhan kwenye 40 posta kwenye ofisi moja ivi, tukabadilishana no za sm na kuanza kuwasiliana, akawa amenitongoza nikamkubalia, aka suggest tuonane nikaomba iwe open space kwanza, nika suggest na hotel twende dinner, tumeenda jana hotel moja maarufu, alinifata home, ametaka kunikis nikakwepa, tumefika pale parking akataka nikiss tena nikamwambia its too early, tukaingia akanishika mkono nilikuwa naona aibu ni mtu mzima sana, saa ngap asizungushe mkono kiunoni nikamtoa nikaona kanuna, basi tumeagiza msosi tumekula akaingia washroom hakurud kaniachia bill 158k nampigia hii bill nitalipaje? Akasema ni mapema pia mimi kula pesa yake? Nilikuwa na ki akiba nikalipia but nimeumia sana Nadhan wanaume wafundishwe namna ya kuwa real gentlemen, kumfanyia mtoto wa kike kitendo kama kile ni utoto na ushamba
1
3
3
127
Jamani🥵
Reposting this cuz why not 😂
1
20
Mbona huja—cc vyombo vya Habari Mheshimiwa?
OFFICIAL ANNOUNCEMENT. Mimi kama kibaha finest leo nimeamua kuachana na bullying either za bahati mbaya au makusudi za humu ndani na nimeamua ku-focus na kuuza jezi. Wengi mliokutana na mimi live ni mashahidi jinsi gani nilivyo mkarimu na mwenye heshima, nimeamua kufanya.👇
1
2
2
674
PABLO ZUNGU retweeted
Unaishiaga wapi?
19
9
32
1,381
PABLO ZUNGU retweeted
Tusisahau Kuishi Jamani🍗🍺
19
32
97
11,557
PABLO ZUNGU retweeted
Kuna usemi usemao "Mlisha mwana ndiye mwanafunzi wa tabia zake" Unapopokea fedha za matajiri kufadhili harakati zako za kisiasa unakuwa umeingia mkataba wa kulipa fadhira baadae
3
12
112
5,161