Nna wakala wangu naendaga kusajili line ana kakaake anaumwa for a while now. Na hii hali ya uchumi, she still has to travel naye hadi MNH. Nusu dose ni kama 300k if i’m not mistaken. She’s so tired hadi haelewi. But she still manage to get a smile kwa wateja wake hadi huwezi jua anachopitia. Let’s be nice to one another because you never know.
Homa ya ini inatesa sana watu. And hizi systems zetu za maisha ambazo hata kuweka savings ni ngumu, ukiumwa au ukiuguza unaishiwa kabisa unaanza mwanzo. Mungu awape moyo wote hasa hasa wanaouguza na wanashindwa kufanya biashara zao vizuri kurudisha pesa wanazopoteza kwenye matibabu.