Mara ya mwisho Man United kuwa mabingwa EPL;
1. Jakaya alikuwa Rais
2. TikTok haikuwepo duniani
3. iPhone iliyokuwepo ni 5, leo kuna 17
4. Mandela, Mugabe, Fidel Castro walikuwa hai
5. USD 1 ilikuwa sawa na Tsh 1600, leo ni 2600
6. Mwanafunzi wa Form 2 alikuwa bado hajazaliwa