Kuna Father amekuja na A05 anasema aliuziwa na kijana mtaani kwake , complain yake anasema simu imemuandikia locked baada ya kurestore nikamwambia hiyo ilikuwa na mkopo wakatoa mkopo kwahyo ulivyo restore ndoumeharibu akasema naomba unielekeze wanapapotikana hao watu credit ambao wameifunga hii simu yangu nikamwambia hiyo ni case kubwa inabidi ujiandae akasema wew nielekeze tu ofis hayo mengine niachie mim nikamuelekeza kuna branch wanakopesha simu sijui ni nn kilitokea huko ila mzee ni taita kinoma🙌
Nipo dirishan namsikia mtoto akiwaeleza wenzake kuwa mbele tena kuna maandamano yanakuja kaona hizo habari kwenye simu ya Mzazi wake
Mmoja akasema ongea taratibu utakamatwa shauri yako sasa hapa najiuliza kwa umri huu tayari watoto wameanza kujadili kuhusu hayo mambo aise hatari
Kati ya madude nasubili kwa hamu sana na wivu mkubwa ni hili MUTINY.
Oya hili litakuwa na moto sana stori nzuri imetulia inatarajiwa kutoka mwezi ujao 🔥🔥🍿🍿
Katiba ni nini?
Katiba ni sheria kuu na ya msingi ya nchi inayoweka mfumo wa utawala, mgawanyo wa madaraka, haki za wananchi na wajibu wa viongozi. Sheria nyingine zote zinapaswa kuzingatia katiba
Faida za Katiba kwa Wananchi
📌Kulinda haki na uhuru wa wananchi kama uhuru wa kutoa maoni, kuabudu na kushiriki siasa
📌Kuzuia matumizi mabaya ya madaraka kwa kuweka mipaka ya mamlaka ya viongozi
📌Kutoa usawa mbele ya sheria kwa wananchi wote
📌Kutoa mwongozo wa kutatua migogoro kwa njia za kisheria
📌Kuhakikisha uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi
#FreeLissu#KatibaMpya ni Sasa
Nipo nimetulia huku na mpenzi wangu (Binamu) tunaliangalia jua linavyozama
Binamu anatafna bigjjjjj mimi nina tu ivory, so tunabadilishana mate vizuri tu
Kuna madogo hapa Manzese wameuza gofu lao kwa kibunda kirefu sana aise 350M afu kwao wako watatu tu.
Kama mimi ndo ningekuwa miongoni mwao basi kadi yangu Bank na kila kitu kuhusu fedha zangu ningempatia Blessed tillah ♥️🫶🏽
Kuna jamaa alikuwa na BMW moja around 2023 alikuwa anasubil mida ya kagiza kuzama then anaingia mitaa ya chuo cha Rucu pale itoshe kusema watoto wa chuo wanapenda sana kimvuli jamaa alichafua sana kipande kile, alikuwa akienda huyu akiludi yule
Itoshe kusema hiki kizazi cha milkshake & Cappuccino kinapenda sana kimvuli🚗😂🙌