Here X for fun,๐Ÿ’ฆ

Joined February 2025
847 Photos and videos
Pinned Tweet
Mwanamke akisha zoea huu mtandao hata mahusiano Anajionea shida tu.
11
24
49
686
Sijuh mnatoa wapi nguvu ya kuonesha watoto waa 2007 Marija ya 1994.
6
12
29
527
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Kilichokuwa kinatisha zaidi ni namna kocha ya Capeverde alivokuwa katulia yani hana mambo mengi๐Ÿ™Œ
2
4
23
330
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Huyu tapeli amefanya nimemuona Gavi akiwa winga, ..team winga Gavi , winga Ferran!! ... huyu mataqo ya bata leo kacheza na mitaji ya masela๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿšฎ,..
10
17
33
553
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Spain win and over 2.5 ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
17
21
129
2,059
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Spain walikuja na mastaa. Cape Verde walikuja na kipa wa miaka 40.๐Ÿ˜ญ
4
14
74
529
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Mpaka sioni ajabu kuna uwezekano mkubwa kombe la Dunia likaja Afrika au hata liende Asia. Hizi dua na hata milele ๐Ÿ™
5
9
22
326
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Replying to @IamGabby_01
@IamGabby_01 mkeka wa jana huenda ulishutka kwann niliweka corner tu badala ya magoal ,timu kubwa kwa timu ndogo draw ina asilimia zake๐Ÿ˜
2
5
13
222
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Mara nyingi wanaume huwa tunajikuta tunawapenda na kuwahitaji zaidi wanawake ambao tunawaumiza sana kwenye maisha yao ndani ya mahusihano..โœ๐Ÿพ
3
12
29
445
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
๐ŸšจNasisi mashabiki wa madrid tunataka lamine yamal aingie๐Ÿคฃ
9
10
38
647
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Spain wameshindwa kumfunga cape verde bila shaka morroco anawez kuwa bingwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
7
8
26
895
Kocha mjuaji kmmk biringanya la bibi ake๐Ÿค”....
4
12
30
374
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
World cup kanjibai atawabamiza sana punguzeni mihemko
3
14
120
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Ndugu zangu Mimi Nalala Ila nawakumbusha kuwa Changamoto unazokutana nazo si ishara kwamba umepotea.Mara nyingi ndizo zinakufundisha masomo ambayo usingejifunza kwa njia nyingine.Makosa yanakupa Hekima,Majaribu yanajenga Nguvu,na Ushindi unakupa Matumaini ya kuendelea. Usiogope
1
9
17
189
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Yaani De la Fuente ameona ni wazo zuri kutulazimisha kutazama Gavi na Ferran wakiwa mawinga
5
9
43
918
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Mbona draw ni nyingi sana kwenye hili kombe la dunia shida ni nini
4
12
16
275
Wakuu ukiwa unapiga na manzi akawa anakuangalia hivi utaendelea kupiga ?
7
10
39
2,056
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Spain walienda wedi kapu bila player yoyote wa madrid, madrid wakatangaza chezaji lao la spain lililopo wedi kapu kabla hata ya mechi yao ya kwanza๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
6
7
39
1,175
๐—จ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—บ ๐—ฏ๐—ผ๐˜† ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ณ๐˜‚ ๐—ฎ๐˜€๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—ฒ ๐—บ๐˜€๐—ผ๐—น๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ.๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
6
15
22
674
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Hawa espeni hawajui kama nimeomba kamba3๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
3
13
27
297
Ukishangaa ya wema na whozu utayaona ya Spain Leo ni huzuni.โ˜น๏ธ
1
2
2
77