Joined May 2021
3,061 Photos and videos
Pinned Tweet
Rest in peace my mother ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
629
296
3,889
183,453
Umeona ee, binadamu sisi miyeyusho sana yani ๐Ÿ˜
Ila binadamu bhana, kwahiyo kila mwanamke akibeba mimba lazima pua iwe kubwa na atokwe na chunusi? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2
4
2,192
Kmmk huyu mtoto ana balaa ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
12
26
428
9,127
Watanzania wanaipenda CHADEMA ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1
1,135
Mr. Magnifico retweeted
Kuna watu wakiona hii nyomi wanapata kifafa๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ“Iringa mjini, Leo
15
113
683
37,488
Mr. Magnifico retweeted
25
176
645
7,684
Mr. Magnifico retweeted
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi T9.24 mengineyo =T36.23. Madeni ni T7.84 yaliyoiva T6.86 riba=T14.70. Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%. Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿปโ€โ™‚๏ธKodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.
44
214
539
20,592
Mwanamke anayeji post sana kwenye mitandao ya kijamii, huyo hawezi kuwa mama bora kwa familia yako. Ni red flag
1
1
1
542
Mr. Magnifico retweeted
hii haiitaji UCCM wala uchadema inahitaji common sense kuelewa in fact km wewe ni Mtanganyika kweli ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
15
184
852
23,706
Ndugu zetu waislamu wanafundishwa kuwa Yesu Kristo alikuwa Muislam na Sheik ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
408
Mr. Magnifico retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™๐Ÿ˜ ๐Ÿ‘‰Bei 27,000/= Wa.me/ 255717251747 Au 0714336827 ๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
26
170
194
5,493
Mr. Magnifico retweeted
Leo majira ya mchana Polisi watano wakiwa na silaha za moto walivamia nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHASO Mkoa wa Mwanza AdvocateSailence Mwakasala na kumkamata kinguvu kisha wakaondoka nae. Mpaka sasa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wamegoma kusema kosa lake ni nini na wanamshikilia katika kituo kipi cha Polisi. NB. Gari ambayo walitumia wakati wanamkamata ni namba T 113 DVU Toyota Hilux halafu mmoja wa hao Askari alikuwa amevaa sare za The Polisi. #FreeSailenceMwakasala
4
100
399
11,746
Mr. Magnifico retweeted
Kwanini kesi ya Mwenyekiti wetu isogezwe mbele kwa mda mrefu kiasi hiki mara tu baada ya chama kueleza mpango mbovu wa polisi hapo kesho. Chama kimeeleza nia ovu ya polisi dhidi ya chama chetu alafu kesi inasogezwa mbele!!! Mahakama ya Tanzania inaondoa imani ya wananchi na kuchochea chuki kwa matendo kama haya.
91
382
1,645
38,436
Siku hizi mapenzi kinyume na maumbile tunayachukulia ni sawa tu, hii ni kazi ya SHETANI. Mapenzi kinyume na maumbile ni CHUKIZO kwa MUNGU. Lakini watu wanampigia makofi na kumuona ni SHUJAA, wengine wakimfuata DM kuhitaji huduma yake. Kweli ni nyakati za mwisho ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
257
#TajiriLaKihaya Tangazo letu WANAUME limeshatokaโ€ฆ
32
46
187
6,966
Mr. Magnifico retweeted
Haya ndio madhara ya kuwa na WABUNGE ambao hawategemei KURA ZA WANANCHI. Huyu ni AHMED SHABIBY akiamuru mwananchi akamatwe AKAFIRWE badaa ya mwananchi kupiga simu kuulizia mambo ya maendeleo kwenye jimbo lake. Hawa ndio wanafadhili WATEKAJI kama wakina MAFWELE wanatembelea magari ya MABILIONI kwasababu wanazo ajenda zao za KUTEKA wananchi wanaomiliki AKILI TUMAMU.
22
133
645
44,612
Mr. Magnifico retweeted
Watanganyika kazi mnayo.๐Ÿ˜€
10
12
116
3,501
Mr. Magnifico retweeted
Kwahiyo sasa hivi ameanza kutubagua Watanganyika?
79
124
600
33,200
Mr. Magnifico retweeted
Please Repost๐Ÿ™ #BEST SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ โœ…Size 38/39/40/41/42/43/44/45 โœ…Price 75,000/= Wa.me/ 255717251747 ๐Ÿ“Kariakoo
5
61
72
1,511
Mr. Magnifico retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™๐Ÿ˜ ๐Ÿ‘‰Bei 27,000/= Wa.me/ 255717251747 Au 0714336827 ๐Ÿ‘‰Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
21
172
201
7,918
Mr. Magnifico retweeted
CCM TERRORIST ORGANISATIONEN GROUP. #FreeTunduLissu #SamiaMustGo MaCCM NI MAKATILI SANA๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
3
28
76
4,985