The Top Of Rap's Elite | Tanzanian Hip Hop Artist | Vision Imple-Ment(e/o)r - Bookings: cheusidawatv@gmail.com

Joined February 2010
3,050 Photos and videos
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Nov 16, 1982 - May 28, imepita miaka 13 tangu tumpoteze Rapper Albert Kenneth Mangweha ๐Ÿ•Š๏ธ, Endelea kupumzika kwa amani ๐Ÿ™ #Tbt hapo alikuwa anafanya Freestlye katika Jukwaa la Dar Live, akiwa pamoja na Fid Q na Mzungu Kichaa , 2008.
3
15
43
1,985
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Replying to @FidQ
1
3
249
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Siku ya kwsnza naliskia lile goma la @FidQ "SIHITAJI MARAFIKI" Ilipoanza tu ile intro *MACHIZI SKUSOMA NAO TULIKUTANA TU MTAANI,UDOGONI SKUCHEZA NAO ILA NDIO MACHIZ WA UKUBWANI* Lile dundo bana ngosha katufokea sana walimwengu sio siri๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
1
11
889
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Jun 5
๐ŸŽ™๏ธ
1
2
393
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Watu wengi hawajui ila Mimi nawapa hii Fid Q ana one of the best Gospel song Tanzania and yโ€™all sleeping on that song since 2018 ๐Ÿ˜„
15
20
351
22,720
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
๐Ÿ—ฃ @dicazzitz anasema kwa sasa rapa wakubwa Tanzania kama @FidQ na @StaminaTz ustaa sio kitu tena kwao. #PlanetBongo
4
14
1,472
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Replying to @MwanaFA
Coolio - Gangsta's paradise song has 0 Curse words in it because @StevieWonder didn't allow vulgarity in a song he's sampled in. Gangsta's paradise is one of the legendary hiphop songs. in Tanzania who is the one Hiphop artist who can create a Choir duo song like this?
1
1
260
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
#Mwanamalundi @FidQ Uyu mzee anazeeka na makali yake km kisu cha buchani ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ #BadoHipHop Cc @LucasOdero8 @BabuBomba4
4
11
40
1,579
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, amesema moja ya sababu kubwa inayofanya Muziki wa Tanzania kushindwa kupata Tuzo za Kimataifa kama Grammy ni Wasanii wengi kushindwa kudumisha utambulisho wa muziki wao na badala yake kuiga mifumo ya muziki kutoka Mataifa mengine kama Amapiano na Afrobeat. Fid Q ameyasema hayo leo Mei 21, 2026 wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava, litakalofanyika Julai 10, 2026 katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania ilisimama kidete kupitia muziki wa Bongo Flava uliokuwa na utambulisho wa kipekee uliobeba lugha, utamaduni na simulizi za maisha ya Mtanzania, hali iliyoufanya muziki huo kutambulika ndani na nje ya mipaka ya nchi. โ€œMiaka ya mwanzo ya Bongo Fleva ilijengwa na vijana waliokuwa wakielezea maisha halisi ya mtaani, ndoto, changamoto, mapenzi na matumaini ya jamii lakini kwa sasa aina hiyo ya muziki imepungua nguvu, huku baadhi ya wasanii wakiegemea zaidi katika maudhui yasiyo na uhalisia wa maisha yetu na kuhamasisha ngono, tujiulize swali, ukisikiliza Bongo Flava ya sasa, kweli inawakilisha sauti ya Tanzania? Wakati wasanii wengi wanafanya Amapiano na Afrobeat, bado tunaweza kusema tuna sauti yetu ya kipekee?โ€ amesema Fid Q. #MillardAyoUPDATES
18
12
123
15,647
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Fid Q
without naming your city... who is the most famous person from your city?
3
1
8
1,560
RT @TakeoffYrn15: The only thing I can request as a fan is a Vinly Records of his Albums.@FidQ ---#KitaaOLOJIA
2
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Chuki humchoma anayeihifadhi - Fid Q 2016
1
2
199
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Ile verse ya Fid q kwenye ukisikia Paah remix iko very underrated ila ni one of the best๐Ÿ”ฅ
Bongo top 20 ranking za verse Kali za Hip hop. 1. Hawatuwezi verse 1 - Lord eyes 2. Msela verse 1 - Ngwair 3. Hili game verse 1 - Juma Nature 4. Tunasonga Ist& Autro verse - Hashim Dogo 5. Hii Leo verse 2 - Mwana FA
8
1
17
2,030
Kuna muda ata life ikue ngumu vipi itabidi utenge ata dakika tano umuachie Ngwair na Fid Q waseme yao then ndo uendelee kuteseka
3
16
768
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
May 8
Fidstyle Friday: Langa 2011
3
32
96
4,558
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Zingua once ni ok, Twice ni go go awaaaaaaayโ€ฆ. Pray by @FidQ
1
147
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Mambo yakinizidia mi hupray๐Ÿ™๐Ÿ™. @FidQ
1
1
311
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Chupa la Pray by @FidQ lipo youtube pale Twende tukalitazame ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ #BadoHipHop Cc @gabyconscious @LucasOdero8 @BabuBomba4 @SharoGangstar
1
3
9
542
๐Ÿ’ฅ Brand new: @FiDictionary - PRAY youtu.be/a_LLZWHSJ-4

3
3
587