Atashangilia kuliko yeyote, ni asili tuu ya WATOTO WENGI WA KISHUA kufurahia mafanikio ya wengine. Kwa Aziz YANGA sio team tuu kama kituo cha kazi, kwake YANGA ni familia inatakiwa kushinda/ wengine wanatakiwa kushinda kwa sababu kweye team work, team inaanza kwanza.