Social Entrepreneur l Leadership Impact Award Winner @WashFellowship l Builders of Africa Future Awardee #Chevener #SoaringEagle πŸ¦…

Joined August 2010
856 Photos and videos
Pinned Tweet
"It takes a village to raise a child" ~ African proverb. Grateful to my team @taitanzania @taiplustz, our partners, fans and everyone who is supporting our work. Together, we can do so much!
Yesterday, it was my honor to announce new investments in African youth programming and entrepreneurship. Africa is home to the youngest population in the world, and the ideas, innovations, and initiatives of these young leaders will benefit all of us.
1
5
23
6,493
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
I can’t believe we ditched this niceness for Hass avocados πŸ₯‘
364
2,261
12,779
432,603
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Msongamano mkubwa wa vyombo vya moto ikiwemo magari, pikipiki na bajaj umejitokeza katika Barabara ya Mandela Jijini Dar es salaam, hali iliyosababisha usafiri kuwa mgumu katika maeneo hayo. Foleni hiyo imejitokeza leo Juni 13, 2026 ambapo imeathiri upande wa Ubungo kuelekea Buguruni pamoja na kutoka Matumbi kuelekea Tabata Relini, huku sababu ya hali hiyo ikiwa bado haijafahamika rasmi. Baadhi ya Watumiaji wa barabara hiyo wameeleza kuwa wamekwama kwenye foleni hiyo kwa muda mrefu, hususan katika eneo la Tabata Relini, ambapo baadhi yao wanadai wamekuwa wakisubiri tangu saa moja usiku bila mafanikio ya kusonga mbele kwa kasi. #MillardAyoUPDATES
11
11
165
38,884
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Jun 9
This got to be the greatest World Cup in history.

65
426
3,505
413,319
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Jun 9
Two countries, two very different World Cup welcomes Mexico greets arriving teams with music and dancing The US hits them with strict security and thorough inspections under blazing sun the moment they step off the plane
188
2,065
6,938
168,902
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
SHAME ON USA. Shame on FIFA for not fighting for this innocent referee.
192
586
4,437
57,249
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
World Cup referee - Africa's best - is denied entry to United States and sent back after landing at Miami Airport, despite having a diplomatic passport trib.al/NScoXem
1,827
7,157
25,607
4,250,836
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
"Its not a world cup if you don't allow the world to come in!" Former referee, Christina Unkel, SLAMS decision to refuse Omar Artan entry to the US! @tSHandJ
260
1,162
6,000
172,444
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
XENOPHOBIA
MAMBO YA UZAWA YA AFRIKA KUSINI YAMEPANGA KUFANYIKA ZANZIBAR Naibu Waziri wa AJIRA amesema Zanzibar kuanza kufukuza Watanganyika wanaofanya kazi visiwani upo kwa hoja kwamba sio wazawa wa Zanzibar Amesema wakipitishiwa bajeti ya wizara yake, watachukua hatua zinayofanana na zile za Afrika Kusini kuondoa wasio wazaliwa wa Zanzibar kwenye ajira na kupeleka ajira hizo kwa Wazanzibar bila kuja vigezo vya uzoefu au kitaalumu kuhusu ajira zilizotangazwa, Tanganyika na Zanzibar hazina sheria inayoweka vizuizi vya ajira kwa mzawa wa upande wowote ule, amesema atahakikisha asilimia 80% ya ajira wanapewa Wazanzibar, Kumbuka Wazanzibar wana kitambulisha cha Mkazi ambacho ndicho utolewa kwa wazawa tu JE Hii inaweka wapi Muungano wa Tanzania ( Tanganyika Zanzibar ) Je bado tuna Muungano sahihi? ambapo kwenye Muungano huo kuna Mambo mengi yana mkanganyika yanashughulikiwa na nani? na raia wa ili Taifa wana mipaka gani ndani ya Muungano Masuala ya Ajira kwa upande wa Tanganyika ni ya pande mbili yaani Muungano kwamba ajira zote za Tanganyika zinakwenda kwa mtu yeyote yule, Mfano kuna wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya wametoka Zanzibar na wako Tanganyika kwa majukumu ya wilaya ambayo yako chini ya TAMISEMI wizara isiyo na mambo ya Muungano. hazi hazikutakiwa kuwa ajira za Muungano maana na mambo ya utumishi wa umma ya upande wa pili, kama ambavyo kwenye mambo ya utumishi wa umma yatokanayo na uteuzi huko Zanzibar kwenye vyeo vya uteuzi wanaopewa ni wazanzibar kwa 100% Kero zote za sasa zilizopo za Muungano zinatokana na kile ambacho Zanzibar imelalamika, kwa maana nyingine ni Kero za Zanzibar dhidi ya Muungano, lakini hakuna kero za Tanganyika dhidi ya Muungano, Kero tunazoangaika nazo ni za upande mmoja. Mbaya zaidi Kero hizo zinashughulikiwa na serikali isiyo na uwakilishi wowote wa Tanganyika. Bado tuna maswali kuhusu uhitaji wa #KatibaMpya na kuweka vizuri suala la Muungano ? kuwa na serikali Tatu na kila upande kushughulikia mambo yake, Tanganyika kupata uwakilishi kwenye kuondoa kero za Muungano za kutoka Zanzibar na kutoka Tanganyika kupitia Bunge dogo la Muungano litakaloundwa kwenye mfumo wa serikali Tatu ?Zanzibar kuanza kufukuza Watanganyika wanaofanya kazi visiwani upo kwa hoja kwamba si wazawa wa Zanzibar. Naibu Waziri wa Ajira amesema wakipitisha bajeti, watafanya operesheni inayofanana na ile ya Afrika Kusini kuondoa wasio wazaliwa wa Zanzibar na kuwatendea kazi Wazanzibar bila kuja vigezo vya uzoefu au kitaalumu kuhusu ajira zilizotangazwa. Ameahidi atahakikisha asilimia 80% ya ajira wanapewa Wazawa. Hii inatia shaka kuhusu Muungano wa Tanzania (Tanganyika Zanzibar). Je, bado tuna Muungano wa kweli? Masuala ya ajira kwa upande wa Tanganyika ni ya pande mbili: kuna wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya kutoka Zanzibar waliopo Tanganyika kwa majukumu ya wilaya yaliyoko chini ya TAMISEMI, wizara isiyo na mambo ya Muungano. Kero za muungano zinatokana na kilicholalamikiwa na Zanzibar; kwa maana nyingine, ni kero za Zanzibar dhidi ya muungano. Hakuna kero za Tanganyika dhidi ya muungano. Kero tunazo nazo ni za upande mmoja. Mbaya zaidi, kero hizo zinashughulikiwa na serikali isiyo na uwakilishi wowote wa Tanganyika. Bado tuna maswali kuhusu uhitaji wa #KatibaMpya na kuweka wazi suala la muungano: kuwa na serikali tatu na kila upande kushughulikia mambo yake, na Tanganyika kupata uwakilishi wa kuondoa kero za muungano zinazotoka Zanzibar na Tanganyika kupitia Bunge dogo la muungano litakaloundwa kwenye mfumo wa serikali tatu.
3
13
25
1,434
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
β€œIf justice truly existed, prisons would be filled with politicians, not the poor.” - Niccolo Machiavelli
97
3,784
10,970
121,329
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Big up, Uncle Ian Wright for speaking up, and he's 100% correct. Look how Qatar got dragged when they were hosting the World Cup.
1,280
21,936
95,783
2,950,151
No urgency!
Kwenye talent outsourcing, Tanzania ipo nafasi ya 100 duniani. Kenya ipo 11, Uganda ipo 24. Tanzania inaongoza kwa unafuu wa gharama za talents, ila ipo nyuma sana kidunia. Ni kiingereza au ni ujuzi hatuna? Maana hata kwenye kuchangamkia fursa nje ya Tanzania unaweza kukuta mahali Wakenya wametuma maombi 1,000, watanzania hawajafikisha maombi 100. Ni nini changamoto?
23
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Dar is one of the ugliest cities in Africa. And the uglification is ongoing. There are very few places to go, relax and breath. Mfano, mchana mtu ukitaka kupumzika, kama siyo kwenda kwenye restaurants, unakwenda wapi? No respect even for future potential developments. Mfano, kama tunataka Sinza iwe high-rise locality in 20 years, it means lazima kuwepo na breathing spaces ndani na nje ya Sinza kwenye surrounding areas. But we are auctioning them. Utterly disgusting. We need to do better, au tuweke mamlaka maalumu na zinazojitegemea za majiji ili kuredesign, ku-budget na ku-redevelop majiji yetu. Manispaa HAZIWEZI. Siyo shida zao hizo.
Hii kitu huwa inatia hasira sana. Wengine wanawekeza kwenye viwanja vya michezo na maeneo ya bustani za kupumzikia, ila sisi kila eneo la wazi mwenye visenti anawaza kupora ajenge fremu za maduka au ICDs. Bladifakeni kabisa.
30
22
122
19,029
πŸ₯Ά

7
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Champions are not born. Champions are made in practice.

221
3,453
27,158
1,441,538
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Not the Order of Lumumba? We are sick. Leopold was more evil than Hitler. And the latter is even questionable.
Baada ya show yenye mafanikio makubwa jijini Paris Ufaransa, jana Fally Ipupa, star wa muziki wa Rhumba kutokea nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia Kongo, ametunukiwa medali ya hadhi ya juu nchini humo ya "Knight of the National Order of Leopold" na rais FΓ©lix Tshisekedi.
8
5
18
5,872
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Jun 5
Kobbie Mainoo πŸ‘Ή Voted for by the players πŸ†
301
5,393
43,547
911,924
Powerful, value for money! Muhimbili tunaijenga kwa bei gani?

14
There is a deeper systemic problem here, beyond what you see on the surface. Here is a video that can help you to understand the challenges we face as a country. vt.tiktok.com/ZSQet6GQ3/
Kwa mujibu wa ripoti za mwisho za IMF, Uganda imefanikiwa kuipiku Tanzania kwa GDP per capita baada ya zaidi ya muongo mmoja Tanzania ikiwa mbele. Ingawa mimi bado siamini kabisa kuwa per capita ni kipimo cha maana cha kuangalia kwenye maendeleo ya watu.
54
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
This is El Salvador’s new world-class public hospital, free for all.

1,556
8,790
46,405
3,566,300
Soaring Eagle πŸ¦… retweeted
Gharama ya ujenzi wa hii hospitali ni $62 million. Ujenzi wa Muhimbili mpya unakadiriwa kuwa $468 million. Natumai tutapata kitu kikubwa na bora angalau mara 10 zaidi kwa sababu uwekezaji wetu ni mkubwa maradufu.
The best hospital in Central America. With every medical specialty, the most advanced technology in the world, and top-quality care. Public. Dignified. Free. For everyone.
61
32
175
48,773