Joined April 2020
739 Photos and videos
Pinned Tweet
2
34
114
17,503
Things fall apart, The centre cannot hold
1
10
222
Nyahucho Mabere Marando and Richard Karumuna Rweyongeza have played a very significant role in my legal career. I am glad to have worked with them as a junior in the late 80s and early 90s. I tapped a lot of knowledge feom them. @Advocate_Jebra @Mwabuk2Boniface @HekimaMwasipu
4
29
157
5,519
Ambazo zipita shwa kama upepo wa kisulisuli
Mimi Sina hata mia huo utajiri wetu Ccm mmeushikilia
4
4
15
1,039
Yesterday the Public was awed by the arbitrary ammendement of the cause list, the effect of which was to push TUNDU LISSUs Treason case to 3rd July, in lieu of 11th erroding the confidence in the judiciary It could have been otherwise could the court have acted transparently
1
13
35
1,934
Mpale Mpoki retweeted
“No one is more official than the referee, and if a country refuses to allow a referee in, the World Cup should not be held in such a country.” Joseph Sepp Blatter Former FIFA President
90
1,534
4,620
43,948
There is a principle in NATO going by the saying that an attack to one of us is an attack to all of us. African Countries and AU, in the same spirit come out and say Any acts of humiliation to one of us is humiliation to all of us AU is a people block not a leaders tea club
3
5
156
Mpale Mpoki retweeted
Jun 9
“Everyone is complaining about the poor facilities & organization in the stadiums, training facilities, airports, as well as the detention of players, photographers, referees, coaches, just about everything, it will be the worst World Cup edition ever”

1
1
170
Just like 1976 montreal olympics boycott. Problem is nowadays we dont have politicians
The best decision for Omar Abdulkadir Ardan, Somalia, Senegal, Africa,Iran, the World is not to dignify the racism on display so far with their continued presence and participation. Go back home, stay home, make World Cup 2026 a non-event!
1
82
XENOPHOBIA
MAMBO YA UZAWA YA AFRIKA KUSINI YAMEPANGA KUFANYIKA ZANZIBAR Naibu Waziri wa AJIRA amesema Zanzibar kuanza kufukuza Watanganyika wanaofanya kazi visiwani upo kwa hoja kwamba sio wazawa wa Zanzibar Amesema wakipitishiwa bajeti ya wizara yake, watachukua hatua zinayofanana na zile za Afrika Kusini kuondoa wasio wazaliwa wa Zanzibar kwenye ajira na kupeleka ajira hizo kwa Wazanzibar bila kuja vigezo vya uzoefu au kitaalumu kuhusu ajira zilizotangazwa, Tanganyika na Zanzibar hazina sheria inayoweka vizuizi vya ajira kwa mzawa wa upande wowote ule, amesema atahakikisha asilimia 80% ya ajira wanapewa Wazanzibar, Kumbuka Wazanzibar wana kitambulisha cha Mkazi ambacho ndicho utolewa kwa wazawa tu JE Hii inaweka wapi Muungano wa Tanzania ( Tanganyika Zanzibar ) Je bado tuna Muungano sahihi? ambapo kwenye Muungano huo kuna Mambo mengi yana mkanganyika yanashughulikiwa na nani? na raia wa ili Taifa wana mipaka gani ndani ya Muungano Masuala ya Ajira kwa upande wa Tanganyika ni ya pande mbili yaani Muungano kwamba ajira zote za Tanganyika zinakwenda kwa mtu yeyote yule, Mfano kuna wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya wametoka Zanzibar na wako Tanganyika kwa majukumu ya wilaya ambayo yako chini ya TAMISEMI wizara isiyo na mambo ya Muungano. hazi hazikutakiwa kuwa ajira za Muungano maana na mambo ya utumishi wa umma ya upande wa pili, kama ambavyo kwenye mambo ya utumishi wa umma yatokanayo na uteuzi huko Zanzibar kwenye vyeo vya uteuzi wanaopewa ni wazanzibar kwa 100% Kero zote za sasa zilizopo za Muungano zinatokana na kile ambacho Zanzibar imelalamika, kwa maana nyingine ni Kero za Zanzibar dhidi ya Muungano, lakini hakuna kero za Tanganyika dhidi ya Muungano, Kero tunazoangaika nazo ni za upande mmoja. Mbaya zaidi Kero hizo zinashughulikiwa na serikali isiyo na uwakilishi wowote wa Tanganyika. Bado tuna maswali kuhusu uhitaji wa #KatibaMpya na kuweka vizuri suala la Muungano ? kuwa na serikali Tatu na kila upande kushughulikia mambo yake, Tanganyika kupata uwakilishi kwenye kuondoa kero za Muungano za kutoka Zanzibar na kutoka Tanganyika kupitia Bunge dogo la Muungano litakaloundwa kwenye mfumo wa serikali Tatu ?Zanzibar kuanza kufukuza Watanganyika wanaofanya kazi visiwani upo kwa hoja kwamba si wazawa wa Zanzibar. Naibu Waziri wa Ajira amesema wakipitisha bajeti, watafanya operesheni inayofanana na ile ya Afrika Kusini kuondoa wasio wazaliwa wa Zanzibar na kuwatendea kazi Wazanzibar bila kuja vigezo vya uzoefu au kitaalumu kuhusu ajira zilizotangazwa. Ameahidi atahakikisha asilimia 80% ya ajira wanapewa Wazawa. Hii inatia shaka kuhusu Muungano wa Tanzania (Tanganyika Zanzibar). Je, bado tuna Muungano wa kweli? Masuala ya ajira kwa upande wa Tanganyika ni ya pande mbili: kuna wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya kutoka Zanzibar waliopo Tanganyika kwa majukumu ya wilaya yaliyoko chini ya TAMISEMI, wizara isiyo na mambo ya Muungano. Kero za muungano zinatokana na kilicholalamikiwa na Zanzibar; kwa maana nyingine, ni kero za Zanzibar dhidi ya muungano. Hakuna kero za Tanganyika dhidi ya muungano. Kero tunazo nazo ni za upande mmoja. Mbaya zaidi, kero hizo zinashughulikiwa na serikali isiyo na uwakilishi wowote wa Tanganyika. Bado tuna maswali kuhusu uhitaji wa #KatibaMpya na kuweka wazi suala la muungano: kuwa na serikali tatu na kila upande kushughulikia mambo yake, na Tanganyika kupata uwakilishi wa kuondoa kero za muungano zinazotoka Zanzibar na Tanganyika kupitia Bunge dogo la muungano litakaloundwa kwenye mfumo wa serikali tatu.
3
13
25
1,434
2
6
205
Kuondoa kwa nguvu ombaomba kunakiuka haki nyingi za msingi za binadamu na haki za kikatiba Haki ya kuishi Haki ya kufanya kazi Haki ya kuabudu (kwa dini zinazoamini kuwa kutoa msaada ni sehemu ya ibada Kitendo cha kibaguzi kati ya maskini na tajiri kinyume cha ibara 13
DAR: Wakili Jebra Kambole ameeleza hayo baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia kwa Meya wa Kinondoni, Songoro Hamis Mnyonge mnamo Mei 28, 2026 kutangaza mpango wa kuwaondoa kwa nguvu ombaomba. Jebra anasema hatua hiyo ni mabaki ya mifumo ya kikoloni yaliyotumika kudhibiti na kuadhibu Waafrika maeneo ya mijini, anapendekeza; Makazi na mifumo ya msaada kwa familia, huduma za msaada wa Afya ya Akili na ulemavu, Programu za ajira endelevu na ujumuishaji wa kiuchumi zitolewe na kukabiliana na vyanzo vya umaskini. Zaidi jamii.app/JebraKuhusuOmbaomb… #JamiiForums #HumanRights #HakiZaBinadamu #Governance #Accountability
7
28
1,098
Having an executive President do we need an executive Prime Minister ? Rais anasaidiwa kazi zake na Vice President, kazi za Prime Minister ni zipi hasa ? Food for thought
Replying to @lifeofmshaba
Swali la Kwanza nililo jiuliza, Kuna Mtu Nchini anaye pigiwa Kura kuwa Waziri Mkuu, wakati wa Uchaguzi Mkuu? Nimeipitia sana Katiba kutafuta Jibu la Swali hili, sikupata. Bado naendelea kuipitia tena na tena. Au ni Nafasi ya KUTEULIWA na Mtu Mwingine ALIYEPIGIWA KURA na WANANCHI?
2
4
17
719
Mpale Mpoki retweeted
Kwa finishing aliyofanya msomi @TitoMagoti kwa yule kikatuni kwa heshima tumpe 👇🏻 Retweet 1K & Like 2K kabla ujalala ewe mpenda haki katika taifa letu Tanganyiaka #freetundulissu ✌️✊
2
73
352
3,537
Nimejitahidi kuangalia katika katiba yetu ya 1977, nimeshindwa kuona ibara ambayo inasema kuua ni kawaida ! @Advocate_Jebra @TonnyAdamms @AdvMahinyila @Mwabuk2Boniface naomba mnisaidie kwenye hilo ili nielimike
42
137
525
24,829
Ukweli mchungu Hatutaki kuukubali huu ukweli
TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA. Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa. Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi. Tumeacha misingi ya utawala wa sheria na kujigeuza kuwa miungu watu wasioguswa na uwajibikaji. Hatuwezi kuua, kutesa, kushambulia na kupoteza maelfu ya watu halafu tukajificha nyuma ya neno “sovereignty.” Huo siyo ulinzi wa mamlaka ya Taifa; huo ni upotoshaji wa dhana ya sovereignty chini ya Sheria za Kimataifa. Kwa mujibu wa Katiba ya Umoja wa Mataifa (UN Charter), Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa (ICCPR), Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu (UDHR), Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu (African Charter on Human and Peoples’ Rights), pamoja na kanuni ya Responsibility to Protect (R2P), Mataifa yana wajibu wa kulinda uhai, utu, uhuru na usalama wa wananchi wake. Sovereignty katika sheria za kimataifa siyo leseni ya Serikali kufanya ukatili dhidi ya watu wake bila kuwajibishwa. Sovereignty ina mipaka ya kisheria na kiutu iliyowekwa na mikataba ya kimataifa, sheria za haki za binadamu, na wajibu wa Mataifa kulinda wananchi dhidi ya mauaji, mateso, upotezwaji wa watu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Pale ambapo Taifa linashindwa au linakataa kulinda haki za msingi za wananchi wake, jumuiya ya kimataifa kupitia taasisi zake halali inaweza kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria za kimataifa ili kuzuia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Ndiyo maana hatua mbalimbali zinazochukuliwa na baadhi ya Mataifa ya Ulaya, Marekani, na taasisi za kimataifa kuhusu maafa ya Oktoba 29 dhidi ya Watanganyika ikiwemo mauaji, upotezwaji wa watu, mateso, na vitendo vinavyokiuka misingi ya haki za binadamu zinaweza kuwa na msingi ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa na wajibu wa kimataifa wa kulinda utu wa binadamu. Tusipokuwa tayari kujiwajibisha wenyewe, tutajikuta tunawajibishwa na jumuiya ya kimataifa. Ukweli, Haki, Utawala wa Sheria na Uwajibikaji ndiyo msingi pekee wa kulinasua Taifa letu kutoka katika mkwamo huu. BAK MWABUKUSI SHAMBANI BUSOKELO
9
30
1,348
You defend yourself using a gun on people who use stones Self defence is not a political defence to be determined by a politician but rather a legal prinicpal to be determined by a court of law after balancing proportianality and necessity. It is reached based on evidence
6
45
116
3,862
2
48
169
1,811
An attack to an advocate while on duty is an attack to the independence of the bar, it is an attack to the rule of law and an attack to the pillar of the constitution which cannot be tolerated.
THIS IS UNACCEPTABLE. ARRESTING AN ADVOCATE WHILE EXECUTING HIS PROFESSIONAL DUTIES IS AN ATTACK ON THE INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY, THE LEGAL PROFESSION, AND THE RULE OF LAW. I have received the information below from our advocate, Leonard Elias Magwayega. "Mr. President, in the course of legal representation of the accused persons of the incidents of October 29th , 2025, I have been arrested by police at Tarime today, the 22nd May, 2026 after 17 accused persons had been acquitted in CC NO. 1812/2026 at TARIME DISTRICT COURT on the ground that I have assisted them to run away while they still have a pending treason case. I did not do so but for reasons better known to police who were present when the accused went away, they decided to put me under arrest. I was detained at Tarime Police Station from 10hrs up to almost 16hrs. I latter on was granted a police bail. Am to report at Tarime District Police Station at 08.00 hrs on Monday 2026, the 25th day of May. This is for your information Mr. President Mwabukusi. By LEONARD ELIAS MAGWAYEGA, TLS MEMBER, ROLL NUMBER 2897." Tutachukua hatua. BAK MWABUKUSI - TLS PRESIDENT
5
47
127
4,118
Wakili wa kujitegemea ni afisa wa mahakama, wakili wa kujitegemea hana tofauti na jaji au hakimu kwa wote ni maafisa wa mahakama. Ndio maana zamani polisi alikuwa anawajibika kumpigia saluti wakili kama afanyavyo kwa jaji na hakimu.
1
2
162
Missing in action @Advocate_Jebra @HekimaMwasipu, Advocate Mwakilima Phillip @LivinoNgalimit5 Keep the spirit @Mwabuk2Boniface @TitoMagoti @LusakoAlphonce @rugemeleza @Edson_Kilatu However dark the night, however dim our hopes, light will always follow darkness. Louis Zamperini
7
35
154
4,614