If you argue against reality, you will suffer

Joined December 2015
888 Photos and videos
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Ukifanikiwa kwenye maisha, usiwaone ambao bado ni wavivu au hawafanyi kwa viwango. People are trying ila ndiyo muda bado au bahati haiwi tu upande wao.
6
16
62
1,331
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Happy #MHDay2026 🩸🌍 Too many girls still experience shame, silence, stigma, and exclusion because they menstruate. Menstrual hygiene is about dignity, education, confidence, wellbeing, and freedom. Building a #PeriodFriendlyWorld means ensuring girls can learn, lead, and exist without shame. What does a #PeriodFriendlyWorld mean to you? 👇🏾 #MenstrualHygieneDay #EndPeriodStigma
2
9
112
Ndio maana Ukifa Leo kila kitu kitaendela hata eneo lako la kibarua chap chap anapatikana wakuchukua nafasi 🙌🏾
Usijipe muhimu mahali ambapo huhitajiki hata kidogo. Hii inaweza kusababisha msongo wa mawazo bila sababu. Falsafa nzuri ni kuamini kuwa mambo yanaweza Kwenda bila uwepo wako!!
1
16
Hedhi haipaswi kusitisha ndoto zao za kielimu. Siku hii ya Hedhi Duniani, tunapaza sauti: Kuboresha miundombinu ya shule zetu ni kulinda utu na mustakabali wa binti wa Kitanzania! 📚💧#MenstrualHygieneDay #HedhiSalama #TokomezaUnyanyapaa
1
10
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Replying to @JenniferKayombo
Nahisi sababu wanaoteseka ni watoto masikini.
1
1
153
Laiti wangefahamu namna Wasichana wanavyotega shule na kuingia kwenye vishawishi kwa kukosa tu pedi au vyoo safi na maji salama hili pia lingekuwa kipaumbele #SikuYaHedhiSalama
Tunaelekea kuadhimisha #SikuYaHedhiSalama lakini bado tunazungumzia changamoto zile zile miaka nenda rudi na bado hatuzipi kipaumbele kuzitatua. Hii ni hatari zaidi sababu hatuwezi kuwasaidia wasichana kwa namna hii.
1
1
204
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Tungekuwa na uwezo wa kuzuia changamoto zisitupate wengi wetu tungefanya hivyo ila haiwezekani.
6
25
463
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
"Fanya uwezavyo katika maisha yako na haswa katika watu wako wa karibu uwe na walau mtu mmoja anayeweza kukuuliza maswali magumu, machungu na usiyoyapenda." ~Togolani Mavura.
9
51
169
1,833
Eid Mubarak 🌙🙏🏾❤️
1
5
89
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Changia Ujenzi wa Maisha Bora kwa Watoto wa Kike! 🌸 @MsichanaUwezo inajenga sehemu salama kwa wasichana kustawi na kujifunza. Changia sasa: 255 754 251 022 kidogo au kikubwa unachotoa unabadilisha maisha! Naomba niwachallenge @EsirEid @Thommunkondya @INFLUENCERjr karibuni.
5
9
16
2,094
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Are You? Upo Tayari? #DadaMkuu
1
3
66
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Woman to woman: Take your financial situation very serious, the world can be very unforgiving and cruel to poor women- si unaona hata humu ndani wanavo sakamwa? Pambana mwaya! Kidogo kidogo tutafika.
10
31
113
9,147
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Hakuna aibu yoyote if you approach watu unadhani wanaweza kukusaidia kufika mahali. Haijalishi how negative it can be, but keep knocking them doors. Kuna ambao watafungua, trust me.
9
61
352
9,505
Uko sahihi😃
Ningekuwa Marketing Manager wa Ile Bank ya Kijani, Mwakani ningekuja na Idea zile mbio zikakimbiwe Mkoani, sio mbaya zikaenda kule walipo wenzao. Kama watahitaji kupata visibility yakutosha kama wenzao, nikuja na idea tu nzuri maana wakimbiaji ni walewale. Cc; @franklin_tissa
2
2
134
Tukubali kuzaliwa upya na kuachana na yote yanayoturudisha nyuma🙏🏾.
1
8
313
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Happy International Youth Day Today, we honor the strength, creativity, and resilience of young people who are shaping a better tomorrow. At Dada Mkuu Initiative, we believe that when youth are empowered with the right knowledge, skills, and support, they become unstoppable.
1
3
44
Happy International Youth Day Ni muhimu kuchukua hatua za makusudi kuongeza uelewa, kupambana na unyanyapa na kuimarisha afya ya akili kupitia mitindo bora ya maisha ya kila siku. Kila kijana anastahili nafasi ya kuishi maisha yenye utulivu wa kiakili, matumaini na mafanikio
1
5
122
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
71
42
300
19,175
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Ili kuboresha Afya yako ya Akili hakikisha unaepukana yafuatayo 1.Kukata tamaa haraka 2.Hasira au huzuni kupita kiasi 3. ⁠Matumizi ya vilevi au kujitenga unapopatwa na changamoto. #TuzungumzeAfyaYaAkili #IYD2025
1
3
41
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
1
3
45