Joined March 2022
934 Photos and videos
16 Mar 2025
Baddo...
6
15
16,853
27 Feb 2025
Always pray
1
23
25
5,310
Morning from ths side
2
9
22
5,723
manyuel retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost๐Ÿ™๐Ÿ˜ Jezi ya sasa 27000/= Jez za Zaman (Vintage) 35,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE TUNATUMA
30
210
239
18,727
Ukitaka kwenda nao sawa Tafuta pesa. Ukiwa nazo watakusikiliza watakupa nafasi ya kuongea na makofi watakupigia. Good morning God's people ๐Ÿ’ซ๐Ÿค
28
37
139
29,793
manyuel retweeted
Replying to @Manyuel76
Anza siku yako na harufu nzuri,usikubali kunukia changamoto. โ–ซ๏ธKaribu sana arusha,morombo stand bar mpya utanikuta nikupe perfume yako pendwa Galcier Bold by maison Alhambra๐Ÿ’ฅ 55,000/= #niukiakistaarabu๐ŸŒน
1
1
3
2,929
manyuel retweeted
20 Feb 2025
Kama Boss Wako anafurahia Maendeleo yako Kutokana Na Mshahara Anaokulipa Bas Huyo Sio Tu Mwajiri Bali Ni Mzazi. Hakikisha Unafanya Kazi Yake Kwa Uaminifu Mkubwa san...๐Ÿ“ŒโœŒ๏ธ
39
93
406
15,907
manyuel retweeted
Hakuna mtu anaye jua siku atakayo pata matatizo, ukipata nasafi ya kumsaidia mtu usisite mana huwenda ujui kesho yako ikoje.
13
14
17
3,276
manyuel retweeted
20 Feb 2025
HII NDO HABARI YA MJINI KWA SASA!. Wezesha laini yako ya #Vodacom kuwa ya SME ili kupata vifurushi vya GB peke yake au kifurushi chenye GB, DAKIKA SMS za kutosha kwa gharama nafuu ili uweze kuendelea kuperuzi #BILA kuhofia kuishiwa na bando WhatsApp au Piga Simu โ˜Ž๏ธ: 0743303484
13
17
14
2,719
manyuel retweeted
Leo kuna stori hapa wanangu tusome. Kuna jamaa kanunua vocha ya jero kwa mama mangi akazuga kama anaikwangua hivi alafu akaiweka mfukoni akatoa ile nyingine iliyo kwanguliwa tayari akamwambia mama mangi "mama niliomba vocha ya jero ila wewe umenipa ya buku na nimeshaikwangua..
19
20
112
6,305
Kaa ukijua kwenye marafiki zako kuna mmoja anampenda babe wako kuliko wewe unavyompenda ๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚
31
43
297
8,161
Unajitahidi Kumpenda Mmoja Na Yeye Anakuonyesha Unatakiwa Uwe Na Wengine Kumi 10 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ’”
33
49
293
9,618
manyuel retweeted
Hapa Onyesha Pesa Upewe Ngazi.,Hakuna Kukopa......๐Ÿ˜‚
23
17
27
1,941
manyuel retweeted
18000 tuu Mali Safi โœ…โ™ฅ๏ธ Delivery โœ…๐Ÿšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฏ
18
27
25
1,920
waamini sana watu ila usiwaambie siri zako ๐Ÿ”ฉ
16
13
18
1,360
manyuel retweeted
Sito kuwa na haraka sana mwaka huu.๐Ÿ˜
17
18
26
1,438
hivi wapwa naomba kuuliza kwani tanzania wenye mapenzi yakweli waliishaa au?? make mbona watu hata hawajinyongi jamani๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
21
15
40
2,112